Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,849
- 67,285
Tunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?
Nimeicheki trailer iko pouwa ila naona waingereza wamerusha madongo kuwa ni replica ya Olympus. Am saving the date 16 March 16.This March kutoka Olympus has fallen .linakuja kitu cha London has fallen.balaa
The Assasin...Starring Qi Shu and Chen Chang.....mwaka wa movie za martial arts kurudi on mainstream
Ee bwana ndio,ni kiboko.In the heart of the sea... Moja matata.. Sana....
Hyo si 2015?Ee bwana ndio,ni kiboko.