Movie gani imekubamba zaidi 2016?

Movie gani imekubamba zaidi 2016?

Kitu cha dead pool..

Tunasubir
Captain America civil war
Suicide squad
Batman vs superman
London has fallen
Gods of egpty
Xmen apocalpypse
jason bourne
the jungle book

Hizi movie hatar tupu mwaka huu
.
Gods of egpty. London fallen
Kuna hii inakuja soon...
13 hours in Benghazi..
Based on true events..
Iongeze hapo kwa list yako
 
Angalieni Kitu kinaitwa POINT BREAK hatar sana...jamaa hao wanaiba ela wanagawa kwa watu..yan wanamatukio hatar mpka FBI wanapata kasheshe kuwakamata..movie nzur sana..ishatoka clean copy tangu jana ipo torrent


Pia hunger game mocking jay part 2 imetoka

Leo usiku nashusha ip man3 nimeona tayar ipo bluray
 
Kuna mtu ashaangalia point break humu jaman?? Bonge la movie iko released tayar

Imagine jamaa Ni Criminal master mind, wanaiba hela na gold afu wanagawa kwa raia maskini. Police wanasaka balaa afu wanashindwa kuelewa Hawa jamaa wanamaana gani, police mmoja anajiunga nao ili kuwakamata " the only way to catch them is to become one of them"...

Unakosaje hii movie
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom