Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,334
- 68,404
- Thread starter
- #61
March 16 tayari ishazinduliwaLondon Has Fallen
March 16 tayari ishazinduliwaLondon Has Fallen
The Brinkwekeni na za comedy wakuu tupunguze stress
TwahahahahaaaaSeries mpya ya "Majipu"
Hosted by JPM ft. MKM
Hahaa.two and a half men..... That's the jingle bell[emoji3] [emoji3] [emoji3]The Brink
2 and half men
Ishazinduliwa mkuu, tangu Machi 6. Nimeidekia pale Mlimani City.March 16 tayari ishazinduliwa
ha ha ha 2 and a half men napata hiyo labda nitafute hiyo the brink. Nyingne nayopenda ni modern familyThe Brink
2 and half men
Haaaa haaa nimekumbuka tu nimecheka ice cube na kevin hart ni vichaaRide along 2
Hiyo ni season au naiskia skiaMpaka sasa hii movie ya In The Heart Of The Sea ndiyo bora kwangu, huchoki kuitazama na story yake iko vizuri sana kwa maisha ya kila mtu.
Chris Hemworth (Thor) kacheza vizuri sana humu.
Bado naisaka IP Man 3
vp iko poa?Ishazinduliwa mkuu, tangu Machi 6. Nimeidekia pale Mlimani City.
Na uzuri zaid ni True StoryMpaka sasa hii movie ya In The Heart Of The Sea ndiyo bora kwangu, huchoki kuitazama na story yake iko vizuri sana kwa maisha ya kila mtu.
Chris Hemworth (Thor) kacheza vizuri sana humu.
Bado naisaka IP Man 3
Hizo nimeziona nasubiri hizi1:In The Heart of The Sea
2😀eadpool
3:StandOff
Lets wait nadhani mwaka huu umebarikiwa na movie kali"Hizo nimeziona nasubiri hizi
4..london has fallen
5..13 hours in Benghazi
6..Eye in the Sky
Hizi nazo za mwaka huu nazisubiria
mad max na suicide squadTunaelekea March wandugu, wale wenzangu wafuatiliaji wa Movie, kwa mwaka huu 2016 ni Movie gani umeielewa zaidi so far?
Kabisa mkuu..ni mwendo Wa kuenjoyLets wait nadhani mwaka huu umebarikiwa na movie kali"
ishatoka na nimeshaionaNimeicheki trailer iko pouwa ila naona waingereza wamerusha madongo kuwa ni replica ya Olympus. Am saving the date 16 March 16.