Movement for Change yaingia Simanjiro....!! Ole Sendeka ahahaaa...!!

Majimbo yote Arusha yatakwenda kwa cdm very soon, kuna moja (ngorongoro) litaenda kilaini!!!kama vile unamsukuma mlevi. People Power!!!
 
Jamani M4C nendeni na mikoa ya kusini, wale ndo wanahitaji ukombozi zaidi.
 
pepo za kaskazi huleta samaki wengi sana.waulize wavuvi wa pwani wakwambie uzuri wa pepo hizi.

True! Mwarabu, mhindi, mchina, na mzungu (Sultan Said Seyyid, Vasco da Gama, n.k.) pia waliletwa na pepo hizi hizi Afrika ikashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii. Hizi pepo za enzi zetu sijui zitaleta mabadilko yepi mapya - chanya au hasi? Tusubiri tuone.
 
Mwacheni kamanda millya akomae katika kusaidia m4c then mwisho wa siku tuwamwage mafisadi! Naamini ametuletea uozo mwingi wa kuwaambia watz unaofanywa na chama cha magamba.
 
Hapa kuna majimbo matatu manne ya kuyapigania nayo ni
1. Longido
2. Simanjiro
3. Kiteto
4. Monduli

Haya ndo majimbo magumu yaliyo bakia ila kwa kumtumia huyu millya nina uhakika yatakubali mziki wa CHADEMA

mwanga na same
 
True! Mwarabu, mhindi, mchina, na mzungu (Sultan Said Seyyid, Vasco da Gama, n.k.) pia waliletwa na pepo hizi hizi Afrika ikashuhudia mabadiliko makubwa ya kijamii. Hizi pepo za enzi zetu sijui zitaleta mabadilko yepi mapya - chanya au hasi? Tusubiri tuone.

Mkuu hapo kwenye red unamaanisha Vasco yupi? Wa Tz aliyeko Brazil sasa au

 
Mkuu hapo kwenye red unamaanisha Vasco yupi? Wa Tz aliyeko Brazil sasa au


Mkuu namaanisha yule Mreno aliyekuwa akielekea Uhindini kuhemea maviungo ya msosi akipitia mkiani kabisa mwa bara letu na kutia ngome ya muda pale Mombasa.
 
Yohanna Laizer, Katibu Mwenezi wa Wilaya ya Longido amehamia Chadema- It's Confirmed ! Mzee wa White hair anawaonyesha kuwa yeye ni nani kwa CCM Arusha na anataka kuifanya kama Mnara wa Babeli !
 
Hongera sana simanjiro Kwa pamoja tujenge CHADEMA
Kumekucha, Kamanda James Ole Millya baada ya kuufuata upepo wa Mabadiliko unauvuma vizuri tu ndani ya Tanzania na kuanza kusomba ngome ya CCM- Staminaz ndani ya Arusha,Ataingia ndani ya ngome ya Ole Sendeka,hapa Simanjiro. Vijana wapatao 3,000 ndio watakao msindikiza Kamanda wao huku Simanjiro na kuanza kazi ya kufungua matawi ya Chadema ndani ngome ya Ole Sendeka ( CCM )na kilicho kibaya zaidi ni namna Ole Sendeka anavyo hahaaa kuuzia Maandamano hayo kwa kuwatumia Polisi ! Polisi nao wamekataa kumzuia Ole Millya kwa kudai kuwa ni mzawa wa Simanjiro na ana haki kufanya lolote la kisiasa ndani ya Simanjiro ! Upepo wa Movement for Change unamtisha sana Ole Sendeka.....!
 
Ukombozi umeanzia kaskazini, kanda ya ziwa, kidogo MBY+IRG, hatimaye utamalizikia LINDI+MTWARA+ZANZIBAR,etc...Peopleeeees.....poooooweeeeerrrrrr
 
Napenda kulirudia hili: Mabadiliko ya kweli ya nchi hii kupitia kwa Nguvu ya Umma na kwa faida ya Umma wa Tanzania utaanzia Arusha.

Go Mallya go, Simanjiro Go Ole Mallya go!! CHADEMA mbeeeele kama ti katika kila kijiji kote kaskazini na kanda ya ziwa, n kule Mbeya usipime!!!!
 
Hadi 2015 Tutaona mengi.
Si Si Em kwishneyyyyyyyyyyyyyyyyyyyy
Hedaru hadi nyumba ya Mungu, Simanjiro hadi Njoro Si Si em Hoii
 
Mkuu mvt4c inaongozwa na mungu na si binadamu hata jk analijua hili hio usishangae sana tukitoka tunarudi bagamoyo ,chalinze kueleza wale watu kwanini wanaongozwa na rais kutoka huko miaka 10 wanaishia kuishi kwenye nyumba za udongo kama si laana ninini??

Unataka kuniambia wananchi Wa Bwagamoyo wanaishi kwenye vichuguu kwani wamekuwa mchwa!!?Mbona baba Yao ameshaimaliza dunia kwa safari za nje?
 
Sendeka kapandwa na presure nasikia anakikao cha ndani na wasira,lusinde wakaokoe jahazi simanjiro.
 
ngoja wana memba watujuze

Huyu anaitwa Yohana Laizer Olenaingiria ni mzaliwa wa Wilaya ya Longido na kabla ya kurudi nyumbani juzi (last month) alikuwa anasoma chuo kikuu huko Marekani jimbo la Indiana. Kiufupi ni mwana ccm lakini alianza kupoteza matumaini na ccm baada tu ya uchaguzi wa 2005 na amekuwa akiniambia hajui ccm inaelekea wapi. Namfahamu huyu bwana maana ni mtani wangu he's pro ccm ila propaganda anaweza. Kifupi huyo ndio Katibu wa CCM Longido
 
pepo za kaskazi huleta samaki wengi sana.waulize wavuvi wa pwani wakwambie uzuri wa pepo hizi.[/QUOTE]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom