Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 16,969
- 62,895
huwez ukainana serikali wakati unaendekeza njaa,
waislamu wameuwawa mo29 lakini viongozi wao hata pole hakuna yaani! dah hatari
Mwambie mashalavu aipeleke bungeni, chizi kapewa rungu arudi kizmkazHahaha wakatoliki hoi hakuna janja janja tena. Nyie si mnasema watu wa haki? Haki hiyo irudishwe bungeni wabunge waipitishe au waikatae, hakuna kificho tena.
Hongera kwako mleta mada
Vipi mkuu pale saifee ukiwa huna pesa unatibiwa bure au umeona Bugando tu?Kwahiyo marriage yao iko kwenye divorce? Au imekufa CCM na Kanisa katoliki waliibia sana raia wa nchi hi sasa wamekosana wanataka kuweka wizi wao hadharani........imagine hospitali ya Bugando Inafadhiliwa na kodi za wananchi ila pale kama huna pesa hamna matibabu hata uwe mkotolika anae zunguka na msalaba shingoni,
Bugando ina kodi za wananchi.Vipi mkuu pale saifee ukiwa huna pesa unatibiwa bure au umeona Bugando tu?
Zingine hazina mkuu? Au hazilipi kodi?Bugando ina kodi za wananchi.
Serikali imesema itadeal na mtenda kosa haitadili na taasisi kwani kwa kufanya hivyo ni kuminya haki za kuabudu za wengine.Ifungieni TEC kama Ufufuo na Uzima au mnaogopa ?
Mkuu kila mwaka serikali inatoa zaidi ya 10bn kwenye hospitali ya Bugando kama ruzuku kwa mjibu wa MOU, nawafanya kazi wa Buganda wanalipwa mishahara na serikali sio Kanisa, af isitoshe hospitali inatozwa watu pesa sawa kama Aghakani ambae haipati ruzuku za serikali.Zingine hazina mkuu? Au hazilipi kodi?
Inatoa Bugando tu hakuna hospital zingine? Una uhakika hakuna hospital zingine za kiislam pia zinazopokea ruzuku na zinatoza pesa?Mkuu kila mwaka serikali inatoa zaidi ya 10bn kwenye hospitali ya Bugando kama ruzuku kwa mjibu wa MOU, nawafanya kazi wa Buganda wanalipwa mishahara na serikali sio Kanisa, af isitoshe hospitali inatozwa watu pesa sawa kama Aghakani ambae haipati ruzuku za serikali.
hata wenyewe waislam hawaziamini hizo takatakaWanazo zinaitwa MICO dispensaries hope MOU tajwa ikifutwa itaanzishwa kati ya serikali ya malkia na MICO
Kauli ya Rais Huwa inachukuliwa kama agizo/onyo. Mfano Rais anaweza kufanya character assassination kupitia kauli tu.Una ota mkuu, tenganisha emotional zako za Imani na ukweli, hiyo TEC kama inafungiwa asubuhi tena na kibaraka wa CCM ambae ni dini ya RC. usichezee state mkuu.
Mikoa ya kusini yenye waisalmu wengi waliandamana kudai gesi iwanufaishe Kikwete akawapelekea Jeshi likapiga watu sana
Kule Zanzibar kwenye waislamu wengi walichagua rais wao mwaka 2015 Kikwete akawapelekea Jecha
Kikwete akawasweka ndani masheikh wa uamsho kwa kesi ya mchongo kwa miaka kibao
Sheikh Ponda akanusurika kuuawa kwa risasi kipindi cha utawala wa Kikwete.
Kikwete alipeleka jeshi Msikiti wa Idrisa kariakoo kuwadhibiti Waislamu waliotaka kuandamana
Mamia ya masheikh wametapakaa Jela tangu kipindi cha Kikwete.
Halafu eti cha Ajabu, Masheikh haohao wa leo wanadhani eti rais akiwa Muislamu ni kwa maslahi ya uislamu, HAKUNA KITU KAMA HICHO, WANASIASA WANAANGALIA POWER KWANZA
Kauli ya Rais Huwa inachukuliwa kama agizo/onyo. Mfano Rais anaweza kufanya character assassination kupitia kauli tu.
Ndiyo maana alipomwongelea Gwajima kuanzia pale anapitia misukosuko yeye na kanisa lake. Lakini pia ilimkuta hata Mpina.
Jana kwenye kikao na wazee wa Dar,Samia ksliattack kabisa bila konakona. Sasa kwa kauli yako ya "usichezee state" ile kauli ingeleta shida kwa kanisa kuanzia Jana ile ile. Ungeona nyaraka za polisi na inshu za kuvamia makanisa. Ila hakuna wa kufanya hivyo kwa Roman Catholic church..Hayupo ba haitakuwepo hadi mwisho wa dahari!
RC ni iceberg,huwezi kushindana nayo kwa kuigonga mithili ya meli ya Titanic. Utavunjika wewe.
By the way; serikali kublend na hospitals za kanisa na kufanya hybriding imepelekea hospitali xs kanisa kuwa na hudumabovu sana.
Mnachoomba serikali ikifanye,ikifanye haraka bila kusita.
MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).
Kupitia makubaliano hayo, serikali ilikubali rasmi kwamba makanisa na taasisi zinazohusiana na dini wanaweza kushiriki katika utoaji wa elimu na huduma za afya. Serikali ikapokea kuunga mkono kwa misaada / ruzuku, na ikajitolea kushirikiana na makanisa katika mipango ya afya na elimu.
Pia MOU hiyo iliteua tume ya pamoja ya ushirikiano: Christian Social Services Commission (CSSC) — ambayo inaendesha shughuli za pamoja katika sekta ya elimu na afya kwa niaba ya makanisa.
KWANINI IPITISHWE NA BUNGE?
MOU yoyote inayogusa fedha za umma lazima ipitishwe na Bunge
Basi MOU inayohusu:
mishahara ya walimu/wauguzi,
uendeshaji wa hospitali/shule za dini,
matumizi ya fedha za umma
inapaswa kwa lazima kupitia Bunge
SHERIA INASEMAJE?
Kuna sheria maalum — The Natural Wealth and Resources Contracts (Review and Re‑negotiation of Unconscionable Terms) Act (CAP. 450) — ambayo inasema kwamba mikataba au makubaliano ya serikali kuhusu maliasili na rasilimali asilia lazima “iwasilishwe kwa National Assembly of Tanzania (Bunge)” ndani ya siku chache baada ya kusainiwa.
NASHAURI NA HII IPELEKWE BUNGENI KWA SABABU HAIKUPITA BUNGENI
Hivi unadhani wakatoliki wakiacha kutoa huduma watakao umia ni wakina nani? Hospitali za Peramiho, Ndanda, Bugando n.k. zikiamua kutoza viwango vya Aga Khan nani ataumia?Hahaha wakatoliki hoi hakuna janja janja tena. Nyie si mnasema watu wa haki? Haki hiyo irudishwe bungeni wabunge waipitishe au waikatae, hakuna kificho tena.
Hongera kwako mleta mada
Hizo ni kauli taka tu huweziiKauli ya Rais Huwa inachukuliwa kama agizo/onyo. Mfano Rais anaweza kufanya character assassination kupitia kauli tu.
Ndiyo maana alipomwongelea Gwajima kuanzia pale anapitia misukosuko yeye na kanisa lake. Lakini pia ilimkuta hata Mpina.
Jana kwenye kikao na wazee wa Dar,Samia ksliattack kabisa bila konakona. Sasa kwa kauli yako ya "usichezee state" ile kauli ingeleta shida kwa kanisa kuanzia Jana ile ile. Ungeona nyaraka za polisi na inshu za kuvamia makanisa. Ila hakuna wa kufanya hivyo kwa Roman Catholic church..Hayupo ba haitakuwepo hadi mwisho wa dahari!
RC ni iceberg,huwezi kushindana nayo kwa kuigonga mithili ya meli ya Titanic. Utavunjika wewe.
By the way; serikali kublend na hospitals za kanisa na kufanya hybriding imepelekea hospitali xs kanisa kuwa na hudumabovu sana.
Mnachoomba serikali ikifanye,ikifanye haraka bila kusita.
Hili gugu la udini Samia amelipalilia sana na naona linazidi kunawiri.LM
Sasa waislam mtasoma na kutibiwa wapi ?
Wanataka kuleta siasa za kidini kama kenya walivyopandikiziwa ukabila ambao hawakuwa naoHili gugu la udini Samia amelipalilia sana na naona linazidi kunwiri.
Ngoja lianze kutoa matunda, mdipo watu watajua hawakujua.
Ninaona katika uhalisia wa maisha huku mitaani ni tofauti kabisa na kelele za wanasiasa.
.Watu wameoleana na wanaheshimiana sana bila kujali dini zao
. Hosipitali/shule za dini tofauti huwa zinatoa huduma SAWA kabisa kwa watu wote bila kujali dini za wateja.
. Na mengine mengi ya kijamii. Hata mleta mada Malaria 2 analijua hili.
Tahadhari: Kama wanasiasa wasipokemewa kwa huu ujinga wanaofanya, basi hali inaweza kubadilika na kuharibu umoja wetu.
UONGO UKIRUDI WA MARA NYINGI BILA KUPINGWA, HUGEUKA KUWA UKWELI.
Hata ukifungia huduma watakao umia zaidi ni WANANCHI tena wana CCM haswa .MOU hiyo ilisainiwa mwaka 1992 na taasisi mbili kubwa: Christian Council of Tanzania (CCT) na Tanzania Episcopal Conference (TEC).