Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

Kwa kweli haiwezekani katika mazuri mtu asipewe heko. Katika mabaya tukakosoa.

Kwa Tanesco nimpe heko kutoka katika sakafu ya moyo wangu kabisa Rais, amewafanya wanawajibika vyema katika jukumu walilopewa la kuwatumikia wananchi. Kwa kiasi wamenyooka.

Nashindwa kuelewa Mh. Waziri huyu huyu alikuwa kwenye hiii hii wizara kipindi kilichopita ilikuwaje hakuweza kusimamia vyema hivyo hivyo kama awamu hii,?
 
Baada ya yeye kutoka madarakani ndio tutajua kama nae alikuwa msafi
Nina shaka sana na alieleta Uzi Huu kama anajitambua na anajua maana ya serikali na mfumo wa utawala. utawala uliobora unajengwa ktk misingi iliyo wazi na inayozingatia makubaliano ya kikatiba na kikanuni. hayo anayatoa wapi?
 
HEKO RAIS WETU TUNAELEKEA PALIPO PEMA KWELI.
Napenda kitu kimoja tuu. Namba tunaisoma wote. Unga unapanda bei mpaka unafika 2200 tunaumia wote wapinza, ccm na tusio na vyama. ingawa wwnye mahaba na mtukufu tunajinadi na kutetea kuwa mambo yako bomba lkn kiukweli kila mmoja wetu anakiri kimoyomoyo kuwa halo sio mzuri. tuendelee tu kupiga makofi lkn rusiitese mioyo. ni vema kusema kweli ukawa huru, kuliko kusema uongo ukaumia moyoni. safari bado no ndefu. tukiendelea hivi mpaka 2020, soite tutaongea lugha moja
 
Kuna mabadiliko Tanesco, kitengo cha mawasiliano kimekua karibu sana na wateja, wajitahidi katika usambazaji na upatikanaji wa uhakika wa umeme.
 
Wasalaam,
Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya TANESCO sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

Asanteni.
Mimi Leo.

Mungu akubariki kwa kuiona tanzania yetu mpya
 
Aisee, pale Dodoma bado wako vilevile, inachukua miezi 3 kuunganishiwa umeme
 
rais ndo mkurugenzi wa tanesco,vp huduma mbovu za hospitali nazo tumlaumu rais umeme pia ukipanda bei tumlaumu rais,acheni ujinga watanzania anatakiwa apewe credit mkurugenzi wa tanesco
 
Wasalaam,
Ndugu wanaJamiiForums, katika pita pita zangu nimeona na kugundua kazi kubwa, na mbegu mpya na bora ya uaminifu na uwajibikaji ktk nyanja zote, yaaani kwenye kilimo, biashara na kazini anayoipandikiza Mh.Rais ndani ya mioyo ya wananchi anaowaongozaa. Sasa mtu akipatwa na njaa haliyi liyi ovyo, bali anaparangana kuhakikisha anapata chakula, halikadhalika makazini hivyo hivyo.

Ndani ya Shirika mama Tanesco, hivi sasa kuna hali ngumu isiyoelezeka ambayo hapoawali hawakuwahi kuona au kukutananayo katika maisha yao kazini na kwenye nafasi zao. Ndani ya TANESCO sasa hivi kuna demotion, kuvunja mkataba,na kuamishwa idara, yote ni kwasababu ya kuondoa mazoea na ku-increase performance ya individuals.

Sasa hivi watu wanatolewa store wanaenda PMU, na PMU wanaenda store kwa maana watu wa store waliokuwa wanakula vumbi na kuchekwa na watu wa ugavi na manunuzi imegeuka juu chini.

Ma injinia wanapanda nguzo pamoja na ma technician kwa sababu kibarua harusiwi na wamepunguzwa.

Wahasibu walarushwa wanakuwa demoted na kupewa kazi za hovyo.Ma HR wanakuwa demoted, haukuna tena safari za hovyo, hawatowi tena safari za kiufisadi ili ukirudi ukipokea chako unawakatia kidogo.

Wale wenye weledi na uwezo waliokuwa wanaonewa wanapandishwa vyeo mpaka wanashanga hawaamini kinachotokea.Kwa ufupi Shirika zima wamevurugwa.
Sote tukubali kuwa kuna kitu Mh.Dr.John Pombe Magufuli anafanya kwa ajili ya mema ya nchi hii, Hivo naona mantiki ya watu wanaotaka aongezewe muda wa zaidi ya miaka kumi.

Tafadhali fanya research kote alikoteua mtu afu fatilia za chini humo ndani ndiyo utajua, mm hii ni study case ya tatu.

Asanteni.
Mimi Leo.
sio TANESCO tu mkuu, hili linatokea kwenye taasisi nyingi za Serikali
 
Viva Magu. Tanesco palikua pazuri sana yan ulkua ukipata hata tempo unakua bos ghafla
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom