Moto wa Rais Magufuli ndani ya TANESCO ni hatari

Furaha ya maskini sikuzote ni kuona tajiri either anaumwa, kaishiwa, kawekwa ndani maabusu, kapigwa, kauwawa etc! Anachosahau ni kwamba hata tajiri apate madhara gani haitamsaidia yeye maskini kutoka kwenye Rindi la umaskini wake!

Siwapendi watu wenye mawazo na roho za kimaskini ni hatari! Hivi muhandisi kazi yake ni kupanda kwenye milingoti?
 
Mambo ya maana kama haya wapinzani hawataki kuyasikia kabisa, wakati huo huo wanasema Magufuli anatumia sera zao.
Mambo ya maana ni wateja kufungiwa umeme mara baada ya kulipia, sio kusubiri miezi 8-12 kisa hakuna nguzo au mita. Tanesco wanakosa vipi nguzo wakati moja ya majukumu yao ni kusambaza umeme? Wanadhani umeme unasambazwa na wireless?
 
Hahahhah najua kuliko wewe, yaani wewe unaujanja wa nje tuu na wewe ni engineer ambaye ni normal ranking, afu katafunua ya Md juzi imekupitia tulia tu ndugu na omba JPM atoke maana hapo nadhani wahafidhina na mafisadi kama wewe mtamwondoa.
Unachekesha na njaa zako, vipi ulishapataga kazi?
 
Back
Top Bottom