Moto Mkubwa unawaka Tegeta, Kanisa laungua na vibanda vya biashara kadhaa.

Wakuu, Nipo hapa Tegeta standi ya Bunju nashuhudia Moto mkubwa sana na kanisa la hapa barabarani limeungua na moto unazidi kusonga mbele na kuunguza mabanda ya biashara mengine. Ohhh Lord of mercy!!!!

ina semekana kuwa jana kulikuwa na mkesha wa maombi, kwenye maombi yao walikuwa wana mlaani babu wa loliondo kuwa anatumia nguvu za giza kwenye dawa yake. Ilipofika saa nane mchana waumini wakiwa ndani ya kanisa ghafla moto uzuka na kuanza kuteketeza kanisa hilo.
 
mimi mwenyewe nimekwama hapa ubungo kwani mabasi ya Tegeta hayapakii kwa kuogopa foleni iliyosababishwa na ajari.
 
ina semekana kuwa jana kulikuwa na mkesha wa maombi, kwenye maombi yao walikuwa wana mlaani babu wa loliondo kuwa anatumia nguvu za giza kwenye dawa yake. Ilipofika saa nane mchana waumini wakiwa ndani ya kanisa ghafla moto uzuka na kuanza kuteketeza kanisa hilo.

Nadhani hapa una ongeza chumvi! Hii ni ajali ya moto hakuna uhusiano na hayo maombi ya mkesha kuwa makini!!
 
Tanzania Assemblies of God mkuu (TAG) kama cjakosea. More news to come kadri muda unavyokwenda.

Kama ni hilo la hapo Tegeta kituoni ambalo liko barabarani kabisa na mara kadhaa mikutano ya injili na siasa hufanyika mbele yake basi litakuwa ni la Pentekoste.

Pole sana jirani zangu na wadau wote wanaozunguka mitaa hiyo!!!
 
Sasa Kama hitilafu ni umeme, mbona Tanesco watakuwa na madeni ya kufa mtu mwaka huu Tanesco wanakazi kweli hivi kila Mtanzania akiamua kuishtaki hili Shirika litabaki hai?:lol:
TANESCO ends @ the meter, home installation is mteja's responsibility, all beware!

Mhandisi mifumo na njia kuu za usafirishaji umeme
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom