Moto Mkubwa unawaka Tegeta, Kanisa laungua na vibanda vya biashara kadhaa. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Moto Mkubwa unawaka Tegeta, Kanisa laungua na vibanda vya biashara kadhaa.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Gbollin, Mar 19, 2011.

 1. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #1
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakuu, Nipo hapa Tegeta standi ya Bunju nashuhudia Moto mkubwa sana na kanisa la hapa barabarani limeungua na moto unazidi kusonga mbele na kuunguza mabanda ya biashara mengine. Ohhh Lord of mercy!!!!
   
 2. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #2
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  maafa vipi mkuu? kuna mtu/watu wamepoteza maisha?
   
 3. Azimio Jipya

  Azimio Jipya JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 3,370
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Taarifa yako inaelekweka kuliko ya huyu dogo mwingine amepost kachanganya mambo...!!
  .... tujuze... zimamoto...majeruhi..?
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,465
  Likes Received: 14,811
  Trophy Points: 280
  no zimamoto???
   
 5. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #5
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Wakuu, Zimamoto bado hawajafika, na kwa taarifa za haraka haraka hakuna mtu aliyepoteza maisha ila kuna hasara kubwa sana kwani watu walikuwa wamefunga biashara zao ndipo moto huu ulipotokea. Chanzo cha moto bado hakijafaamika ila moto umeazia ndani ya Kanisa. Nitaendelea kuwajuza zaidi kadri nitakavyopata habari na kuhoji watu kadhaa ambao wanaishi hapa karibu.
   
 6. Architect E.M

  Architect E.M JF-Expert Member

  #6
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 805
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  naskia hao wenye ilo kanisa walimkashifu sana babu wa loliondo...ni watu wa hapa kijiweni nilipo wasemavyo, je ni kweli jamani? Au ni uzushi tu wa watu hapa kijiweni??
   
 7. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #7
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mpaka sasa hakuna aliepoteza maisha ila maafa ni makubwa sana mkuu
   
 8. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #8
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Mkuu, kumkashifu Babu na kutokea kwa huu moto hakuna uhusiano wowote, mbona Kakobe na Mwingira wametoa kashfa nyingi sana kwa huyu babu? Ngoja uchunguzi ufanyike kujua chazo cha huu moto ila kwa taarifa za Kiintalejensia zinasema ni itirafu ya umeme ndio imesababisha.
   
 9. Dena Amsi

  Dena Amsi R I P

  #9
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 17, 2010
  Messages: 13,141
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  Poleni sana majirani zangu
   
 10. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #10
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  hilo kanisa ni la dhehebu lipi?
   
 11. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #11
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  huwezi kwenda na ndoo ya maji eneo la tukio dada?
   
 12. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #12
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole yao jaman
   
 13. AirTanzania

  AirTanzania JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 1,037
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  Sasa Kama hitilafu ni umeme, mbona Tanesco watakuwa na madeni ya kufa mtu mwaka huu Tanesco wanakazi kweli hivi kila Mtanzania akiamua kuishtaki hili Shirika litabaki hai?:lol:
   
 14. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tanzania Assemblies of God mkuu (TAG) kama cjakosea. More news to come kadri muda unavyokwenda.
   
 15. Kurunzi

  Kurunzi JF-Expert Member

  #15
  Mar 19, 2011
  Joined: Jul 31, 2009
  Messages: 3,744
  Likes Received: 107
  Trophy Points: 160
  Nimepita hapo muda huu moto umesha zimwa kumesababisha foleni kubwa sana hasa kwa magari yaelekeayo mwenge.
   
 16. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #16
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hizo ni taarifa za haraka tu mkuu ila chanzo mpaka uchunguzi utakapofanyika wa kina zaidi.
   
 17. Gbollin

  Gbollin JF-Expert Member

  #17
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 20, 2009
  Messages: 586
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Moto umezimwa ila kuna foleni kubwa sana na utafiti unaendelea kujua chanzo cha moto na maafa yaliyotokea. watu ni wengi sana. Akhsanteni
   
 18. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #18
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,148
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Duh! Pole kwa waungwana waliopata hasara
   
 19. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #19
  Mar 19, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  nenda hata na mchanga kwenye ndoo
   
 20. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #20
  Mar 19, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,465
  Likes Received: 14,811
  Trophy Points: 280
  watz bwana hawaishi kunishangaza, sasa wanajazana hzpo kufanya nini? Kama kuna bomu hapo watamlaumu nani?
   
Loading...