Moto mkubwa shule ya Uhuru

Status
Not open for further replies.

Sesten Zakazaka

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
10,709
Reaction score
19,558
Moto mkubwa unaendelea kuwaka maeneo ya Shule ya Uhuru Kariakoo jijini Dar es Salaam katika ule upande wanapouza ma kapeti

Kadiri muda unavyozidi kwenda na huku upepo unazidi kuvuma ndivyo moto unavyoongezeka kwa kasi eneo hilo. Bado kikosi cha zimamoto hakijafika eneo la tukio ingawa watapata tabu kufika hapo sababu muda huu wa saa kumi jioni msongamano wa watu na magari ni mkubwa sana eneo hilo

Chanzo cha moto hakijajulikana
Mamlaka husika zitakuja kutoa taarifa rasmi

Nimeshindwa kuweka picja au video clip kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
 
Mabalaa hayishi siku hizi, Yule mdau alishauri Hilo Eneo lijengwe parking za magari naona lengo lake linaelekea
 
Uhuru Girls School shule kasoma mama yangu hiyo.

Ningependa waudhibiti mapema kabisa kabla haujaunguza shule sana.
 
Kuna mtu kaleta hoja juzi shule ivunjwe! Alikuwa anatualert sio? 😁
JF VAR CHECK

 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…