Most Peaceful Countries In The World

Most Peaceful Countries In The World

Mbona Tanzania haipo hata top twenty wakati kila siku tunaimbiwa na viongozi wetu kwamba sisi ni kisiwa cha amani.

Njaa inasababisha watu wasiwe na amani hizo nchi unaweza ukalala mlango wazi mtu asije kukuibia.

Tanzania kuna roba, ngeta, kukabwa, uwizi, umasikin etc utasema hiyo amani?
 
Absolutely correct. Chocs Tz ni maskini amani itatoka wapi . Peace is more than political stability within the country. Km kuna njaa, lack of power energy, poor infrastructure, can we estimate that country amongest peaceful states ? The answer is No we cant.
 
Last edited by a moderator:

Thanks for elaboration...nimeelewa
 
Last edited by a moderator:
Zanzibar na Tanganyika hazipo top 5?!
 
Zile nchi zinazokaa wafuasi wengi wa dini ya amani hazipo kabisa au wamezisahau?
 
Back
Top Bottom