Otorong'ong'o
JF-Expert Member
- Aug 17, 2011
- 38,903
- 28,046
hakuna hata moja ya kiarabu?
Mkuu mbona unataka sredi ifungwe mapemaa?????
hakuna hata moja ya kiarabu?
Wewe msilamu?
Hata USA na UK pia haimo.'kisiwa cha amani' kimesahaulika?
Hakuna kitu huko ni kiini macho tu
Hakuna kitu huko ni kiini macho tu
Kuna wapumbavu wametuharibia jina letu kwa kupenda vurugu za kitoto...'kisiwa cha amani' kimesahaulika?
Kuna wapumbavu wametuharibia jina letu kwa kupenda vurugu za kitoto...
Kuna wapumbavu wametuharibia jina letu kwa kupenda vurugu za kitoto...
Mbona hata marekani na uingereza na japan hazipo, na india ambayo mnakimbilia kila uchao. Hoja yako dhaifuTanzania hakuna amani kabisa maana unakufa kwa kukosa huduma ya afya stahiki kwa maradhi ambayo yanatibika
Chagadema na wakatoliki?Wavaa suruali fupi wametuaribia amani yetu.
Wavaa suruali fupi wametuaribia amani yetu.
Wavaa suruali fupi wametuaribia amani yetu.