ROBERT MICHAEL
JF-Expert Member
- Oct 23, 2012
- 5,054
- 2,864
We si mkistu mwenzangu, nakana matendo yako. Wakristu wa kweli hawagusi imani za watu. WEWE MGOMVI.
Unajua kuna kitu nilichojifunza kwa hawa watu wanaopenda kusakama dini za wenzao ni watu waliokua maeneo ambayo dini moja ilichukua nafasi sana na walisoma shule zisizokuwa na mchangamano wa wanafunzi wa dini nyingine.Kuwasamehe tu na kuwafundisha itokeapo machafuko ya udini ,mshindi ni ngumu kupatikanika