Moshi town na sikukuu za xmass.

Moshi town na sikukuu za xmass.

Duuh mkulima kumejaa? niko makumba napata ile starter yao ya supu ya mbuzi baada ya ibada.Tuhabarishane kuhusiana na hapo Mkulima maana shurti nipitie kupata mtura na ndizi mbili.
 
Jamani mida kidogo kwa wale walioko mjini tukutane Malindi tukaoshe macho.
 
Duuh mkulima kumejaa? niko makumba napata ile starter yao ya supu ya mbuzi baada ya ibada.Tuhabarishane kuhusiana na hapo Mkulima maana shurti nipitie kupata mtura na ndizi mbili.

Mvua inanyesha sasa..neema hii!
 
kweli moshi raha ingawa ni 50 na fastjet ishakuwa booked mpaka 3 months...

Buon Natale!! chagaz...
 
xmass 1..going to end! welcome xmass 2.(boxing day).
 
Khaaa yaani hii foleni imehamia hadi kwenye nyama ya kuchoma sasa...niko hapa mkulima wachagga wanagombea nyama balaa
Du umenikumbusha mbali sana huko Majengo na Msaranga naona ni mtafutano hadi mwaka mpya, ile Pure ya Molasesi wameshaiacha au bado
Guest yangu ya Tausi sijui imejaa kule Mafuta street, nitangulie Hiloday kule Himo au Babylon Marangu mnipe uhakika
 
aisee mkuu ni full kufurahia..nimeshaona sababu ya wachagga kwenda kwao msimu wa sikukuu hapo kwenye red nilipita jana kuna wazungu wazungu
 
Hivi hakuna hata mmoja mwenye camera atuonyeshe hiyo foleni ya magari au huo umati wa watu. Picha ingejieleza vizuri zaidi, mimi siamini kama wachangiaji wote hawa hakuna hata mwenye cmu yenye camera au camera. Tuwekeeni picha tafadhari.
 
jumanne mji wa moshi ulikuwa mweupeeeeee hapakuwa na hata haice za KB au KCMC,lakini jana jumatano na leo hapatoshi watu,magari kibaoooo naona wale walioomba ruhusa ya siku nne ndo wanarud makazini,nadhani mpaka jumamosi watu watakuwa wamepungua kwa saana.maana wale wabibi wa Uru kishumundu na wale wa Old moshi wanashindwa kuvuka kale ka mzunguko ka mnara wa saa ka mzee mengi wa bonite mpaka wanaomba msaada .
 
Wachaga noma! yaani kwa sasa Ubungo- Kimara-Mbezi barabara nyeupeee..... kumbe foleni imehamia Moshi!!

Yaani mkuu umenena kabisa, kufika mjinai ni kwa dakika tu kwa sasa!! Nilitokea maeneo ya kimara kutokea kibaha nakuambia sikuamini macho yangu, ndani ya 40 minutes Dar City (katikati ya mji)!!! Tukubali hawa wachagga ni noma!! Sis wengine tujifunze!! Kwa nini hatupendi kwetu? Tufanya kuwe na maendeleo na tutapenda kwenda huko tu!! Utakuta mchaga ana jumba lake full utilities (maji, umeme, heater) yaani jumba kila kitu kipo TV flat screen, mazagazaga yake, n.k yaani anakuwa kama vile yuko mjini na zaidi maana kule maji ya bomba asilimia kubwa na hakuna shida!! Big up wachaggas!!
 
jumanne mji wa moshi ulikuwa mweupeeeeee hapakuwa na hata haice za KB au KCMC,lakini jana jumatano na leo hapatoshi watu,magari kibaoooo naona wale walioomba ruhusa ya siku nne ndo wanarud makazini,nadhani mpaka jumamosi watu watakuwa wamepungua kwa saana.maana wale wabibi wa Uru kishumundu na wale wa Old moshi wanashindwa kuvuka kale ka mzunguko ka mnara wa saa ka mzee mengi wa bonite mpaka wanaomba msaada .

watu wanarejea...
 
mimi hua nasema siku zote wachaga wako mbali tufanye bidii kweli tuna kalia ukandaaa ukandaaaa jamaa wako sawa anaebisha aseme
 
Back
Top Bottom