Moshi town na sikukuu za xmass.

Moshi town na sikukuu za xmass.

mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?

Mungu awe nawe! kwa sasa nipo hapa boma (snow view) things are fine, yesu anazaliwa...
 
Khaaa yaani hii foleni imehamia hadi kwenye nyama ya kuchoma sasa...niko hapa mkulima wachagga wanagombea nyama balaa

hahahaha! wanapenda sana nyama...ila ni ng'ombe au mbuzi..not sure with kitimoto!!
 
Khaaa yaani hii foleni imehamia hadi kwenye nyama ya kuchoma sasa...niko hapa mkulima wachagga wanagombea nyama balaa

Pitia pale TOROKA UJE BAR kuna chakula safi pia
 
Khaaa yaani hii foleni imehamia hadi kwenye nyama ya kuchoma sasa...niko hapa mkulima wachagga wanagombea nyama balaa

Dah, yaani nouma foleni imehamia Toilet yaani kote ME na KE, wanapunguza biere kutoka kwa body.
 
mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?
Mkuu nilikuwepo jana nite nagonga vocals mbaya arifu! Daaah.....hebu kuja kwa pm tuwacliana zaida jombaa.....daaah! Tufahamiane bhanaa...hapa ful uchovu wa kuruka kijoti kwaya pale church jana nite!
 
Back
Top Bottom