Moshi town na sikukuu za xmass.

Moshi town na sikukuu za xmass.

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,370
Mji wa moshi umejaa watu sana, kwa mtu ambaye hujawahi kufika na ukifika sasa unaeweza usielewe uhalisia wa mo town magari madogo(private cars) ni mengi hadi kupelekea trafic jam kwa maeneo mengi ya mji huu..wana jf tupeni updates za sehemu mliko...
 
trafic kila kona...wish to know about dodoma, morogoro, tanga, mbeya and mwanza! i do believe dar now is a cool place! purukushani za hapa na pale zitakuwa zimepungua..
 
Mji wa moshi umejaa watu sana, kwa mtu ambaye hujawahi kufika na ukifika sasa unaeweza usielewe uhalisia wa mo town magari madogo(private cars) ni mengi hadi kupelekea trafic jam kwa maeneo mengi ya mji huu..wana jf tupeni updates za sehemu mliko...
nasikia huwa wanakwenda kuhesabiwa na kufanya matambiko huko kila mwisho wa mwaka inapofika...
 
Abiria wanaoelekea rombo kutoka moshi mjini ni wengi na mabasi hapa hakuna, mwenye usafiri noah, coaster or hiace wasaidieni watu warombo wanataka washerehekee sikukuu kwao..
 
Abiria wanaoelekea rombo kutoka moshi mjini ni wengi na mabasi hapa hakuna, mwenye usafiri noah, coaster or hiace wasaidieni watu warombo wanataka washerehekee sikukuu kwao..

jana jumapili barabara ya marangu, tarakea,na hasa maeneo ya kanisa kuu katoliki tarafa ya mkuu mjini msongamano wa magari ulikuwa mkubwa sana, na hii inasababishwa na waumini wengi waliohudhuria ibada ya kwanza na ya pili kwa watu wa makamo!!!!!!!!!!!!!!!
 
nasikia huwa wanakwenda kuhesabiwa na kufanya matambiko huko kila mwisho wa mwaka inapofika...

mh! hapo kwenye matambiko pana utata kidogo, nitafanya utafiti wa kina!!
 
mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?
 
Sasa nipo Kwasadala...hii barabara ya moshi to arusha ni foleni kupanda daraja la kikavu, ts take 14minutes
 
mimi najiandaa na ibada ya mkesha wa x-mass katika kanisa katoliki la mtakatifu katarina wa siena Mkuu- Rombo wewe je?

Hebu tupia Picha ya Kanisa hapo maana ni kitambo sana, oooh Kanisa langu Mkuu Parish
 
Jamani wachaga hawaendi kutambika wanaenda kusherehekea pamoja " Tazama ilivyo vyema ndugu kukaa pamoja"
 
Hebu tupia Picha ya Kanisa hapo maana ni kitambo sana, oooh Kanisa langu Mkuu Parish

Asante kwa kunikumbusha nitaenda na kamera yangu!!! mandhari ya kanisa inavutia kweli, pia kuna jengo jipya linalotumika kama ofisi mpya ya mobia!
 
Khaaa yaani hii foleni imehamia hadi kwenye nyama ya kuchoma sasa...niko hapa mkulima wachagga wanagombea nyama balaa
 
Back
Top Bottom