MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

barua za Paulo ni maneno ya mungu?
Kwani maneno ya Mungu tunayatoa wapi?? Na biblia inaundwa na nini kama si hayo maneno unayoyakataa??? Endeleeni kuikataa biblia alafu useme we msafi huo utakuwa ni unafiki
 
Kwani maneno ya Mungu tunayatoa wapi?? Na biblia inaundwa na nini kama si hayo maneno unayoyakataa??? Endeleeni kuikataa biblia alafu useme we msafi huo utakuwa ni unafiki
Kwa mitume na manabii. Je Paulo alikuwa Nani?
 
Yes......Kwani kuna tatizo..........?.....
 
Pia kuna maeneo mengine huko Moshi maarufu kwa huduma hiyo ambayo ni:
-Kwa Kipanga, Majengo
-Scorpion pub, Soweto
 
Kuna mpango mkubwa wa serikali wa kuanzisha Ranch ya Nguruwe huko Unguja na Pemba
Duh..!!

Hii haina tofauti na yule waziri wa mifugo wa Urusi aliyeishauri serikali yake itoe mikopo yenye riba ndogo ili kuwezesha wafugaji kufuga nguruwe kwa wingi ili wapeleke Indonesia na kuongeza pato la Urusi....!!!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…