MOSHI: Mji uliosheheni walaji wa 'kitimoto'

Hebu kuwa muelewa:

Kwani jamaa hapo amezungumzia BIBLIA waliyoandikiwa wana wa Lawi au AGIZO?
Kwani WALAWI na nyie WAKRISTO wa sasa TOFAUTI YENU nini mpaka. Useme waliambiwa WALAWI na sio WAKRISTO wa sasa?
 
kwanini WALAWI 11: 7-8 HIZO AYA hauzitaki.?
Kwani ukila Nguruwe na yule anaezini kuna tofauti gani na kwani mnashupaza shingo kwenye mlo wa nguruwe?

Hebu msituongezee Frustration kabisaaaa kila mtu ale anachopenda kama ni haramu Mungu hakuwa Mjinga kuviumba wewe hata kama nyama ya mwanadamu ni tamu kwako kula.

Kuzini nako mngekuwa mnakupa nguvu kama Mnavyosemea kitimoto nadhani dunia ingekuwa sawa sana.
 
Bukoba aka bk ni
1.uswahilini qbar
2.kashai center
3.sky motel
4.
5.
6.
7
 
Kula kiti moto kwenye lodges zenu wanaruhusu?
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we kula tu. Lakini jua ushaambiwa.
NGURUWE NI NAJISI KWENU. MSIILE NYAMA YAKE. WALA MZOGA WAKE MSIUKARIBIE.
 
Huku bukoba na senene kwa sana kipindi hiki ukishushia na kitimoto
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] we kula tu. Lakini jua ushaambiwa.
NGURUWE NI NAJISI KWENU. MSIILE NYAMA YAKE. WALA MZOGA WAKE MSIUKARIBIE.
Nashangaa sana kushupalia nguruwe na kuacha wazi milango mengine ikipitisha dhambi ambazo mnaona hazina nguvu, Kama kutokula kitimoto kutakufanya uende mbinguni basi nakutakia safari njema.

Unakomaa na Nguruwe
! nguruwe! Kwani nikila hata kama ni najisi wewe unaumia nini, mimi kula nguruwe tu unaumia je leo nikikutafuna si utalia machozi.
 
Mimi sijaandika biblia
Kama mkristo wa kweli. FUATA MAFUNDISHO YA BIBLIA.
 
Kitmoto hiyo kitu usiguse ule na nyagi huku ukiwA umeshiba
Umkamate manka mtoto wa kichaga atasali rozali yote inaisha ataanza tena upya kuungama zambi zake zote kwenye dushe
 
Kwani wanaokula wamepata madhara gani mpaka sasa?
Wanyama ambao hawaliwi ni ambao hawakuumbwa tu , waliobaki kama hana sumu ya kukuua au kukudhuru ruksa kula , usipokula wewe watakula wenzio.
BIBLIA haifundishi hivyo vinginevyo useme.
UMEJITOA KUWA MKRISTO.
 
Kuna mfanyakazi mwenzangu aliniuliza kwanini nakula kitimoto wakati maandiko yanakataza , nkampa vifungu vya agano jipya ku justify ulaji wa kitimoto, hakurudi na majibu.

Nadhani bado anasoma.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…