Aisee....Upite bila madhara.Nipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea kusini magharibi madhara sijajua ila kwangu
macho yashaleta shida
TMA
Moshi mjini Klm na vinapita vimanyunyu vya umbeaMoshi ipi
Ahaa upo Malindi niniMoshi mjini Klm na vinapita vimanyunyu vya umbea
Utatuliaje nyumbani kwako na wakati unamishe!? tabu tupu.Kama kimbau mbau tulia ndani kwako usije ukatuletea mengine.
Ww utakuwa zoa zoa malindi.Ahaa upo Malindi nini
Kuna haja ya serikali kuwahamishia wachaga wote msomera na maeneo hayo yote walikohamishwa wapewe DPworld wajenge mahoteli ya kitalii na bandari kavu.Nipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea kusini magharibi madhara sijajua ila kwangu
macho yashaleta shida
TMA
Wanaopita ule ukanda wa Same wachukue tahadhari kubwaNipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea kusini magharibi madhara sijajua ila kwangu
macho yashaleta shida
TMA
Dar es Salaam eneo la Mbagala lilikuwa na upepo mkali leo mchana kwenye saa nane.Nipo Moshi kuna upepo unavuma si mchezo anga lote ni vumbi tu na huu upepo unatokea kusini magharibi madhara sijajua ila kwangu
macho yashaleta shida
TMA
Chakula kinaliwa ukiwa na njaa ki 🐕Ww utakuwa zoa zoa malindi.
Ila umerudHuku nilipo kuna radi sana ⛈️⚡ kila mtu kajifungia ndani na umeme umekatika.