Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

Leo saa nne nimesafiri kutokea Kahama to Singida ,ukanda wote hadi Igunga kulikuwa na upepo gari unaisikia inapulizwa kabisa mpaka tukawa tunamtania jamaa yetu mwembamba atembee na mawe mfukoni asije kupeperushwa na upepo.
 
Back
Top Bottom