Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

Moshi kuna upepo mkali sana muda huu

Moshi unakula bata sehemu gani..
Yaan ndo basi hom ila daah ukiwa bored sehemu za kujirusha ni chache
Sanasana Moshi mna Amuz na Red stone uko kwengineko pa kawaida sana
Umesema ukweli dada moshi mm napenda watu kwenye vibaa vya mtaan kuna vibe
 
Moshi unakula bata sehemu gani..
Yaan ndo basi hom ila daah ukiwa bored sehemu za kujirusha ni chache
Sanasana Moshi mna Amuz na Red stone uko kwengineko pa kawaida sana
Hapo red stone huwa napendelea au nishuke bomang'ombe pia sadala hapo Kuna baa ipo hapo barabarani kabia Cute Wife baby wewe tutaenda chemka day tukikutana
 
au sio?? Moshi sehemu gani? Naona Mungu anataka niolewe na watu wa kaskazini!!! Mpk kitaa wanaume wanaonitaka wa huko kwani kuna shida gani???
Kwa nilivyo nitaishi wap zaidi ya kuishi stend na wahuni tukipiga mishe mishe nipate Ela ya kukuhonga bando sweet manka
 
Nimepita Boma upepo mkali sana, nimesimama Sadala nahisi hatari mbele, vumbi la kutosha ukileta ujinga unaaga mashindano kijinga.
Umeaga mashindano au bado unadunda? Toa taarifa mapema maana Wapishi wapo stand by
 
Yaani Upepo tu mtu anaanzisha thread. Badala ya kujadili vitu vyenye umuhimu kitaifa kama bandari zetu kugawiwa DP world bureee na uwezekano wa watanganyika kurudi utumwani wa mwarabu, mnjadili upepo.
 
Hakuna ujanja.

Andaa kanzu na baraghashia uwende nao sambamba.

If you can’t beat them, join them.
 
Back
Top Bottom