Moshi ipo kama nilivyoiacha

:blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla::blabla:
 
Hazija kizii Mahitaji viungo vingi vyakuchomea ndafu hawana..Alafu Umeme unasumbua sana uku Moshi..Itabidi tufanye jambo tupeane ushirikiano...
 
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo.Na huku Machame pia ndo vilevile jamani kunanukia ndizi tu.

Xmass iishe minirudi Nairobi.
Vipi wewe umekua??
 
Sisi tunakuja Chrismass Machame tuambie makutano wapi? tunataka kujua kama unayoyasema na ulivyo vinaendana!!! lakini pia tunataka tukutoe OUT!!! kama hujawahi panda vogue you will experience the difference na Altezza utaacha home kwa bibi kwanza.
 
Kijana umaarufu unaoutafuta JF hautokusaidia lolote.

Kama ni ya kweli hayo unayoyasema mpaka unafikia ya kutaja majina ya watu hadharani basi na wewe liweke wazi jina lako tukathibitishe haya unayoyasema. Tofauti na hapo kaa kimya tu kwani hata shule unayoisema ni nguvu za wazazi zimewezesha ujenzi wake. Usikute umechangia mia tano tu maneno mengi!!
 
Hivi yule mbunge aliekaa miaka 24 hapo moshi yuko wapi ?
 
Wewe ni Mallya wa wapi mkuu?? Yaani kutoa fedha zako zote hizo bado unaenda Machame na Alteza alafu unapiga kelele hapa??
 
Sisi tunakuja Chrismass Machame tuambie makutano wapi? tunataka kujua kama unayoyasema na ulivyo vinaendana!!! lakini pia tunataka tukutoe OUT!!! kama hujawahi panda vogue you will experience the difference na Altezza utaacha home kwa bibi kwanza.

Hawezi kujitokeza mkuu, huenda hata simu anayotumia kuingia JF kaazima kwa muda tu!!
 
Mji wa Moshi hauwezi kuendelea.ashukuriwe kikwete kujenga hilo jengo hifadhi ya jamii angalau kamji kanaonekana sasa. Kazi yenu kunywa mbege tu. Mkuu machame sehemu gani unaishi?
 
Hivi yule mbunge aliekaa miaka 24 hapo moshi yuko wapi ?

Yule mzee ndo hamna kitu kabisa kawadanganya wenzie kahodhi ardhi ya kutosha analalamika serikali haimsaidii kufanya uwekezaji yani hii mijitu ya Moshi imekaa kiwiziwizi tu mpaka viongozi wao.ngoja tumuone huyu mbunge wa sasa hivi maana siyo mchagga.
 
Kwani hizo shule ziko ndani ya mji wa Moshi?
 
Sisi tunakuja Chrismass Machame tuambie makutano wapi? tunataka kujua kama unayoyasema na ulivyo vinaendana!!! lakini pia tunataka tukutoe OUT!!! kama hujawahi panda vogue you will experience the difference na Altezza utaacha home kwa bibi kwanza.

Kuna sehemu wameniambia Panaitwa POSHO naskia wanachoma Nyama Vizuri Karibu upate chakula Mkuu
 
Klm ni mkoa ambao rate ya kuzaliana ni ndogo, fursa za kiuchumi chache sana, ndio maana majority wamekimbilia mikoa ya wenzao
 
Mji wa Moshi hauwezi kuendelea.ashukuriwe kikwete kujenga hilo jengo hifadhi ya jamii angalau kamji kanaonekana sasa. Kazi yenu kunywa mbege tu. Mkuu machame sehemu gani unaishi?

hahha!! unaelewa unachoandika!!? uwekezaji wowote wa mfuko wa hifadhi ya jamii sio wa serikali, ni pesa za wanachama. serikali haina chake kwenye mifuko zaidi ya kukopa na kukusanya kodi (na mifuko mimgine hata kodi hailipi, wanaolipa ni PPF na NSSF). btw, nssf hapo moshi wamejenga kwa ubia na red cross, na girls guide association.
 
Ili swala naliona umu wengi wenu Hamjawekeza Moshi ngoja nisubiri nije nionane na jirani yangu Dr.Mengi tujadili Moshi tunaibadilishaje kuna wakenya wengi wanatamani kuwekeza Moshi ndo sababu kuu ya kuanzisha hii mada..

Mleta mada inawezekana hata jinsia yako huijui.
Umesema Moshi kumekutia aibu kwa hao marafiki zako Wakenya,sasa nataka kujua nini kinawafanya hao marafiki zako Wakenya kupendelea kuwekeza moshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…