Tumeshajua unaishi nairobi haya sikuku njema
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Mkuu kama ni mkazi wa moshi nieleweshe nini tatizo tuangalia tunatatuaje izi changamoto ili mji huu uweze kukua..

Yani ulitaka ukija moshi usikute migomba badala yake yawe maghorofa hadi huko machame? Badala ya kuoengeza kwamba watu wa moshi wameendelea kuutunza mji wao na mandhari safi wewe unaona hilo ni tatizo, dah kweli maghorofa ya nai yamekuvutia sana.
Pita Nkwamasi,shuka pale Nkwarungo chini kidogo ya hosteli za wanachuo wa chuo cha nkwarungo hosp angalia namna kunavyopendeza,tembea juu kidogo ya lambo, fika hadi Nronga kote huko mandhari safiiiiiii halafu ufananishe na purukshani za huko kwa Kenyata.
Hata hivyo karibu sana moshi
Barabara mbovu sana Apa makoa kupitia nkuu Altezza yangu imebidi nipaki mjini tu mawe mashimo yakufikia
Huu Mji haukui kabisa yani vilevile nilivyo Ondoka Miaka Mitano iliyopita inauma sana sijui nani kikwazo..Nauku Machame pia ndo vilevile jamani .kunanukia ndizi tu.xmass iishe minirudi Nairobi
Kama Tanzania yenyewe haikui kila siku ni nchi changa, unashangaaje Moshi?