Linguistic
JF-Expert Member
- Mar 16, 2021
- 3,671
- 8,237
Achana na Technicalities wwYaan unashindwa kutofautisha majukwaa....kwa kweli mods wana kazi asee
Mkuu Hayo Ni Mambo ya ajali Tu Kawaida Sana Mkuu. Tumuombe Tu asije akajisahauMsando ana Gundu hajawai kugombea nafasi akashinda ila juzi amebahatika kupata uteuzi na ameingia na Mikosi hakika hatodumu huko.
Eti kangi,huyu mbwatukaji?Haya mambo kangi alifanikiwa sana kuyatokomeza hadi nilianza kuyasahau, R.I.P kwa waliofariki
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO chademaMsando ana Gundu hajawai kugombea nafasi akashinda ila juzi amebahatika kupata uteuzi na ameingia na Mikosi hakika hatodumu huko.
CHAGGA DEVELOPMENT MANIFESTO chadema
Coaster ilikua inapeleka mwili wa marehemu MbeyaSaa nane usiku?
mbona unateseka kwa mambo ya wengine?Albert msando ni mlevi mbwa
Duu, pole zao. Marehemu amekufa mara mbiliAjali imehusisha magari matatu, Coaster, lorry, na gari dogo cresta, dereva wa Coaster inasemekana ndio amesababisha hiyo ajali kwa kujaribu kuyapita magari yaliyokuwa mbele yake bila kuchukua tahadhari, Coaster ilikuwa inasafirisha mwili wa marehemu toka Dar kwenda Mbeya kwa mazishi.