Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,010
- 9,875
Kijiji cha Msongozi kata ya Msongozi wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kimeharibiwa mazao kwa takribani hekari 700
Wananchi katika maeneo hayo ambao wako karibu na mbuga ya Mikumi wameomba serikali iwasaidie kwa kuwa tembo hao wameshindwa kuswagwa kurudi mbugani
Joseph Chuwa, Afisa wanyama pori Morogoro ametaja sababu za wanyama hao kuvamia mji huo kuwa baadhi ya mazao huwavuta tembo kuyafuata lakini pia tembo huwa na uwezo mkubwa wa kutunza kumbukumbu
Maeneo ya Msongozi ni maeneo yamekuwa yakivamiwa na Tembo mara kwa mara
Clouds FM