Labda unamaanisha 2096baada ya kumaliza ujenzi ubungo - city center itakua ivi...
hiyo kwa ccm ni mpaka 2090.kwani sasa hivi ethiopia wanajenga barabara nzuri kama marekani sisi tunajenga barabara za skin tight alafu waziri wenu anajisifia kuwa sasa hivi mtu anapanda texi kutoka mtwara hadi bukoba akitumia barabara ya skin tight.kenya wanajenga baraabara za kisasa [barabara moja 8 lane]. na ethiopia ndio kabisaa kama marekani.sisi ni maneno tu ..aibu tupu ,magufuri husiongee.ethiopia hawana resources yeyote ile.waanategema waithipia walio nje ya ethiopia.sisi tunawakatata vijana wasiende nje .na kuwanyima hata passport amabayo ni haki yao.aibu hii
Kenya nimekaa sana pia Ethiopi nilikuwa miezi miwili ilyopita kikazi kaka acha madharau hao kenya ni nairobi tu lakini hiyo miji mingine hamna kitu.miundombinu yao bado sana haijaendelea nishawahi kutoka bungoma kupitia mumias kwenda kisumu miundombinu ni hovyo sana tz tumejitahidi barabara za kuunganisha mkoa na mikoa wenyewe wenzetu wanakazana kujenga mikoa yao mikubwa tu

Na tulivyo wazembe na wabinafsi! Tutakufa tuishe!
Dah aiseee nimecheka sana aiseee.....mbona hapanuki mikojo?
Labda unamaanisha 2096
baada ya kumaliza ujenzi ubungo - city center itakua ivi...
baada ya kumaliza ujenzi ubungo - city center itakua ivi...