morogoro road 2016

morogoro road 2016

Kenya nimekaa sana pia Ethiopi nilikuwa miezi miwili ilyopita kikazi kaka acha madharau hao kenya ni nairobi tu lakini hiyo miji mingine hamna kitu.miundombinu yao bado sana haijaendelea nishawahi kutoka bungoma kupitia mumias kwenda kisumu miundombinu ni hovyo sana tz tumejitahidi barabara za kuunganisha mkoa na mikoa wenyewe wenzetu wanakazana kujenga mikoa yao mikubwa tu

Sikumbuki hata ni lini lile kauli mbiu letu la maisha bora lilibadilika kuwa barabara bora manake naona kipaumbele cha taifa kwa sasa ni ujenzi wa mabarabara yanayobomoka na kujengwa upya tena kila baada ya miaka miwili mitatu yani ni fulu ulaji kwa kwenda mbeleee
 
Tafuta mtoto wa form three akuambie faida ya phisical infrostructures.
 
U made a remarkable point

To dream is both good and bad thing. I argue you to keep your expectations low. Under the CCM government, we won't achieve that level of infrastructure. It took the Chinese 50 years to accomplish that goal. The chinese economy grows on average 10% annually. We Tanzanians don't have such growth and it will take a century to have such level of infrastructure, will you still be alive? Our leaders know how to abuse funds and not how to utilize funds.
I hope you got the point...

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kenya nimekaa sana pia Ethiopi nilikuwa miezi miwili ilyopita kikazi kaka acha madharau hao kenya ni nairobi tu lakini hiyo miji mingine hamna kitu.miundombinu yao bado sana haijaendelea nishawahi kutoka bungoma kupitia mumias kwenda kisumu miundombinu ni hovyo sana tz tumejitahidi barabara za kuunganisha mkoa na mikoa wenyewe wenzetu wanakazana kujenga mikoa yao mikubwa tu

Mkuu acha ubish, mbona sisi Dar ni hovyo? Si afadhali wao Nairobi wanajenga superhighway, niambie Dar superhighway kama Thika na proposed Uhuru utaijenga wapi? Vitu vingine ni suala la kupanga kwa ajili ya wakati ujao ambalo sisi tumeshindwa kabisa. Hebu mbali na Dar es Salaam ambayo kuna mpango wa Kigamboni na satelite city nyingine. Hebu niambie ni mji gani au 'jiji' gani angalau lina mpango mzuri wa kujiendeleza na kupanuka kuwa mji wa kisasa?
 
Tafuta mtoto wa form three akuambie faida ya phisical infrostructures.

Kuonyesha u.j.i.n.g.a hadharahi ni kujivua nguo huyo infrostructures ndio mnyama gani? na hilo phisical ndio basi la mkoa gani? mtoto wa form three anaweza kupewa kazi ya kupanga vipaumbele vya nchi? mwenyewe hukusoma utajua kunishauri? ficha u.j.i.n.g.a wako bhana
 
kweli mkuu,kenya ni nairobi tu,ukienda malaba,bungoma,kisumu,kericho ni hovyo tu ata nakuru yenyewe ipo kawaida sana,labda mombasa ndio pako vizuri angalau,kenya miundo mbinu mizuri ipo nairobi peke yake

Nilishawahi toa post yangu hapa, sisi wa tanzania tuna tabia ya kudharau maendeleo yetu na kusifia majirani zetu, even without research, huwa nakereka sana. Ifike mahali tuipende nchi yetu, pamoja na mapungufu ya viongozi wetu uzalendo uwepo jamani
 
Back
Top Bottom