Eneo na mali zake linauzwa MOROGORO-MVOMERO

Eneo na mali zake linauzwa MOROGORO-MVOMERO

AI BRAINFULL

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
1,889
Reaction score
4,865
Eneo linauzwa morogoro -mvomero lipo kalibu na hospital ya mvomero,barabara ya mvomero na ni km10 tu toka dodoma road ndani ya eneo kulikua na uwekezaji wa madarasa mawili,minazi na mabwawa ya samaki.KWASASA ENEO LINAFAA HATA KWA UJENZI WA KITUO CHA MAFUTA (sheli) au uwekezaji wowote BEI 47M.
 
Mjomba, fanya uweke picha za eneo husika na uoneshe vizuri mali zote zinazopatikana. Usitegemee kuipata milioni 47 kirahisi tu. Weka picha uvutie wawekezaji wapya.
 
Nashindwa kupandisha picha hapa jukwaani sijui shida nn
 
Nikifanikisha mtaziona maana hii app inanivuraga kichwa
 
Ukubwa heka mbili lipo kalibu na hospital ya mvomero,lipo kalibu na barabara pia
 
Back
Top Bottom