Morogoro ni kama imerogwa

moshi na bukoba kumechakaa balaa
 
Ni ukweli.

Ni kama miji mingine Mbeya, Iringa, Njombe, Ruvuma na mikoa mingine.
 
Hiki kitabia hata morogoro wanacho mtu ana nyumba mbovu katikati ya mji kuna watu wanafika bei lakn anakwambia siuzi
 
"Jaman Morogoro yapendeza oooh,
Maji yatiririka Milimani oooh,, "

mji naupenda sana,, Mji umenilea Umenikuza,,
mkataa kwao ni mtumwa 😎
Moro pazuri shida moja tuu, hamna mbususu classic sijui kwa nini
 
Niliwai kukodi chumba hoteli morogoro nikalala mwenyewe mpaka asubuhi apo ndio ninasapoti hoja ya mleta mada

Huu mji umefubaa Kama ilivyo Moshi, Lindi, pwani, bukoba na kigoma
 
Kwani aboood anasemaje
Amewabinafsishia Waluguru basi lake chakavu lenye langi nyekundu! Ikitokea Mluguru amekufa tu, wanatoa taarifa faster na hilo basi linatolewa bure kwa ajili ya kuwapeleka wafiwa kwenye makaburi ya Kola kumzika mpendwa wao.
Baada ya hapo, kura zote za ubunhe anapewa Mh. Abood!!

Ila ukija kwenye miundombinu ya barabara za lami, nadhani Manispaa ya Morogoro inaachwa mbali sana na Manispaa ya Iringa.
 
Niliwai kukodi chumba hoteli morogoro nikalala mwenyewe mpaka asubuhi apo ndio ninasapoti hoja ya mleta mada

Huu mji umefubaa Kama ilivyo Moshi, Lindi, pwani, bukoba na kigoma
Ungemuuliza Adam ma... akimpata wapi wa kumwibia smg yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…