Na kukimbiza mwenge nchi nzima huleta maendeleo 🤣Miaka 50 ya CCM madarakani bado tunaamini kuwa Kaka kuona ni mwarubaini wa matatizo yetu!
Anaitwa Geita Chato Mtanikoma ( GCM ) Ndugu.Kakakuona gani Tena JAMANI???
Hivi media zetu zimekosa mambo ya kuripoti. Yaani ITV wanarusha habari za kakakuona loh 😥Nafikiri Sisi ndo nchi pekee duniani
Akionekana huyo kakakuona inaripotiwa na media kubwa kabisa
Jike anaitwa kakakipofuHivi hata jike anaitwa kaka kuona?
Ndio vitu vinavyomfurahisha Mfalme na TCRAYaani ITV wamerusha hii habari dah 🤣
Tutajifukiza sana ikiwa hivi ndivyo....ambapo viongozi wa kimila na kidini walimtumia ili aweze kutabiri
Viongozi wa kidini nao ha ha ha hawapo sawa hao hao ni wala sadaka tu
Ila mpk leo bado tunamsubiri huyo mnyama kweli