Morogoro: Kakakuona atabiri neema. DC awataka wakulima wafuate sheria za kilimo

Ccm kwa maigizo ya kijinga hawajambo.

Hata hivyo Jana DC aliwaambia wananchi waliohudhuria maigizo ya ramli kwamba wachape kazi na kuzingstia kanuni za kilimo na biashara badala ya kutegemea kaka kuona
 
Back
Top Bottom