Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,333
- 72,656
Umekimbia chama letu la bachela??? Aisee
Kwa kweli hata siku moja tu ndani ya ndoa/nje ya ndoa ni zawadi kubwa sana. Kwa sababu kila siku moja ndo inajenga/kubomoa ndoa, haitokei tu from nowhere. So ukiamka salama na mkeo hata kama Mna quarrel, just be grateful. No need ya kusubiri miaka 10 ndo useme namshukuru Mungu kwa ndoa hii, wengine wanaachaniaga tu honey moon pheeew. Every single second in marriage, is a huge blessing. So just count your blessing my dearHongera sana jamani
Hatimae ametokea wa kuisifia ndoa, ingawa ni changa usiruhusu mawazo hasi kwenye akili yako.
Mwanamke akipendwa anapendeka, jenga uaminifu kwa mkeo ndio nguzo. Usichoke kumwambia jinsi unavyompenda, na msali pia...
Ndoa yenye amani na furaha mtu huitegeneza mwenyewe na kweli mkuu ndege wafananao huruka pamoja!!!
Wooooooooow maneno mazuri sana [emoji122] [emoji122] [emoji122]Hongera sana jamani
Hatimae ametokea wa kuisifia ndoa, ingawa ni changa usiruhusu mawazo hasi kwenye akili yako.
Mwanamke akipendwa anapendeka, jenga uaminifu kwa mkeo ndio nguzo. Usichoke kumwambia jinsi unavyompenda, na msali pia...
Ndoa yenye amani na furaha mtu huitegeneza mwenyewe na kweli mkuu ndege wafananao huruka pamoja!!!
Thank you Heaven Thanks alot, i will make sure natafuta mawasiliano ya clever land BB player au Dwaine Wade ili nimpe namba zako lolKwa kweli hata siku moja tu ndani ya ndoa/nje ya ndoa ni zawadi kubwa sana. Kwa sababu kila siku moja ndo inajenga/kubomoa ndoa, haitokei tu from nowhere. So ukiamka salama na mkeo hata kama Mna quarrel, just be grateful. No need ya kusubiri miaka 10 ndo useme namshukuru Mungu kwa ndoa hii, wengine wanaachaniaga tu honey moon pheeew. Every single second in marriage, is a huge blessing. So just count your blessing my dear
UrbanGentleman, you know my prayers are always with you guys. Mungu azidi kuwatetea, kuwalinda na kuwaongoza. #Blessings#
Asante mamyWooooooooow maneno mazuri sana [emoji122] [emoji122] [emoji122]
Kabisa mpenzi,sijui wewe mama.Asante mamy
Mzima wewe
AminaKwa kweli hata siku moja tu ndani ya ndoa/nje ya ndoa ni zawadi kubwa sana. Kwa sababu kila siku moja ndo inajenga/kubomoa ndoa, haitokei tu from nowhere. So ukiamka salama na mkeo hata kama Mna quarrel, just be grateful. No need ya kusubiri miaka 10 ndo useme namshukuru Mungu kwa ndoa hii, wengine wanaachaniaga tu honey moon pheeew. Every single second in marriage, is a huge blessing. So just count your blessing my dear
UrbanGentleman, you know my prayers are always with you guys. Mungu azidi kuwatetea, kuwalinda na kuwaongoza. #Blessings#
Niko safi Mungu ni mwema, tunashuhudia Mwenzetu akiifurahia ndoa yake...Kabisa mpenzi,sijui wewe mama.
Hehehe my nasty wishes are no longer validThank you Heaven Thanks alot, i will make sure natafuta mawasiliano ya clever land BB player au Dwaine Wade ili nimpe namba zako lol
Ooh sad but great any way, be thankful thouHehehe my nasty wishes are no longer valid
pretend basikatika kitu kilichonishinda ktk maisha yangu basi ni kuwa romantic...yani huwa naona kama naigiza flani hivi.
Mkuu,hizi pongezi sio takrima kweli!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]Wooooooooow hongera sana mkuu,Mungu aijaliie kheri na upendo ndoa yenu idumu milele...Amen.
Hahahaaaaa ujue huwa nikiona quote yako tu naanza kucheka?Mkuu,hizi pongezi sio takrima kweli!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125]