mwanadome
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 5,166
- 5,918
kwamba leo umepongeza ili nawe kesho upongezwe[emoji23] [emoji23] ,maana kwa hii kasi ya shemeji ADB sithani kama mkuu the bold atakuacha peke yako kwa muda mrefu.Hahahaaaaa ujue huwa nikiona quote yako tu naanza kucheka?
Takrima ya lipi mkuu?Hahahaaaaa
Jamaa ni rafiki yangu design,na ni mwana Arsenal mwenzangu...nimefurahi sana kuona kavuta jiko la ukweli.
Vipi wewe na dada yake DAB kutoka Koromije?
Utaoa au ilikuwa....[emoji6]
Dadake DAB bado kwanza niko kwenye vikao vya mashauriano na wazee wa pande zote.tuombe tuu jf idumu wakati ukifika nita ku tag.