G
guest-1790917349
Guest
Wataongea nn,[emoji848][emoji40]
Kwani Ndugai siyo mwislamu?Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Jina lake ni nani???Kwani Ndugai siyo mwislamu?
Jina lake ni nani???
Job Ndugai!Jina lake ni nani???
Kwakweli, maana hizi dini zimeletwa na watu na sio Mungu!Bora wapagani kuliko sisi tunaojidai kumjua Mungu!
Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Hilo jina ni la kwenye biblia MkuuJob Ndugai!
Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Sio kikristo hata kibinadamu sio sahihi kabisa,viongozi wa dini usiwategemee kabisa,sio kwa hili hata kwa mambo yako binafsi,ww pambana na hali yako tuKwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Hata mashetani utaja Jina la Mungu.Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Unajua nini kuhusu constitution wewe! Au unameza meza tu kama kasuku mwenye mdondo?It's not Ndugai it's our Constitution, What Ndugai did just to align with the constitution
So if you have any Problem direct it to Our Constitution.
Now that you know he is to such extent, what is your opinion to his other decisions he has been making in the house??I knew Ndugui has low brain but did not think it was to such extent.
KaziJina lake ni nani???