'Moral flexibility' and leadership

'Moral flexibility' and leadership

Hon NN, do you think what has just happened has anything to do with one among many of resolutions of the sitting of the ruling party executive committee meeting ?

I haven't a clue.

All i know is it is very unnecessary.
 
Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.

Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.

Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.

Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.
Vizuri Sana nn. Sasa kama hiyo busara haikuonekana wakati wa mafuriko ya bukoba je unategemea ije ionekane leo hii kwenye kikao Cha NEC?
 
Kwani aliyemvua ubunge Lissu ni kikao cha NEC au ni Spika Ndugai?

Kukosekana kwa busara kwa lile si kukosekana kwa busara kwa hili.
 
Moral flexibility inaendana na busara na hekima za kiuongozi.

Haipaswi kutumika kila mahala au kwa kila jambo.

Jambo la Lissu ni la kipekee sana na si la kujitakia.

Utu ulipaswa kutangulizwa mbele katika ku 'deal' naye.

..KWELI TUPU.

..sina uhakika kama wamewahi kufikiria machungu aliyopitia mwenzao.
 
I knew Ndugui has low brain but did not think it was to such extent.
 
Shetani wake huwa anamtoka na kumuingia, sasa akimtoka akili zinakuwa sawa he see clearly the big picture.
Sijui unakuwaga na nini yaani kuna muda una squirt kuna muda unaparua kwa makucha ,kuna muda unazimia ,kuna muda unalia kuna muda unajamba

Dah tafuta moja usimame nalo kama ni kujamba ,jambaaa wee
 
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.

The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.

Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.

I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.

I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.

I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.

Be that as it may, there is no need to add to his suffering.

Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.

In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.

Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.

Very unnecessary.
Msukuma anamkosoa msukuma,hovyo tu
 
Kwani aliyemvua ubunge Lissu ni kikao cha NEC au ni Spika Ndugai?

Kukosekana kwa busara kwa lile si kukosekana kwa busara kwa hili.
Nn busara ikikosekana kwa Mara ya kwanza tutasema ni bahati mbaya,Mara ya pili tutasema ni kosa na Mara ya tatu iyo Ni tabia. Na tabia haina dawa. For me sikutegemea baada ya NEC upinzani usiguswe period.....ngoja nikalale mieee
 
Ni kama vile wanataka aendelee kuteseka.

..Spika kabla ya kufikia uamuzi mzito kama huu alitakiwa awe na SOLID EVIDENCE kwamba TL amekataa kujaza fomu ya maadili, na hataki kumpa ushirikiano wa kupata taarifa za maendeleo ya matibabu yake.

..that is the least I would have done kama mimi ndiyo ningekuwa Spika.

..zaidi, Spika alitakiwa am-consult Kiongozi wa Kambi ya upinzani, kabla hajachukua
uamuzi unaopelekea kambi hiyo kupoteza mbunge wake.

..Ni bahati mbaya sana kuwa kama nchi tumefikia hapa tulipo. Kwanini viongozi wetu wanatendeana visivyo?
 
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.

The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.

Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.

I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.

I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.

I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.

Be that as it may, there is no need to add to his suffering.

Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.

In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.

Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.

Very unnecessary.

Where did you learn this English Nyani Ngabu? Beautiful! Well written and communicate easily what you want to communicate.

Hivi kuna nini kati ya State na TL? Kuna jambo ambalo pengine hatulijui, lakini linaonyesha degree ya juu ya usaliti? Je hakuna sababu ya kuambiwa sasa kuliko hizi drama zinazoendelea?
 
..Spika kabla ya kufikia uamuzi mzito kama huu alitakiwa awe na SOLID EVIDENCE kwamba TL amekataa kujaza fomu ya maadili, na hataki kumpa ushirikiano wa kupata taarifa za maendeleo ya matibabu yake.

..that is the least I would have done kama mimi ndiyo ningekuwa Spika.

..zaidi, Spika alitakiwa am-consult Kiongozi wa Kambi ya upinzani, kabla hajachukua
uamuzi unaopelekea kambi hiyo kupoteza mbunge wake.

..Ni bahati mbaya sana kuwa kama nchi tumefikia hapa tulipo. Kwanini viongozi wetu wanatendeana visivyo?

Mimi nasita kabisa kukubali kwamba Lissu hakufanya au hajafanya hayo anayopaswa kufanya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom