'Moral flexibility' and leadership

'Moral flexibility' and leadership

Tunyoshe mstari hapa. Swali ni kwamba je Tundu Lissu amekiuka matakwa ya kanuni au sheria za ubunge? Jibu ni ndio.

Hakuna ajira yeyote duniani utakayolipwa riziki stahiki miaka takribani miwili bila kuwepo ofisini. Huruma ni matokeo, ila sheria ziko pale pale.

Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
Imebidi nisome jina lako kwanza, nikaona niishie hapa.
 
Nitashangaa saana kama viongozi wa dini ..watakaa kimya bila kukemea ukatili huu usio na utu..jaman risasi 16 Mungu akamlinda binadamu anataka ea hata haki ya wapiga kula wake..hapana kwa kweli huu ni ukatili wa ajabu haujawai tokea toka tanganyika mpaka tanzania
 
Kwa sisi wafuasi kristo yesu alichokifanya Ndugai ni sahihi?
Kama Ndugai hayuko sawa.Sisi wafuasi wa kristo tunaongozwa na viongozi wetu kwenye makanisa kwa niaba ya kristo mbona hawakemei unyama huu?
Jamani nchi na Bunge vinaongozwa na sheria.Lakini kumbukeni kwamba kama Wakristo,Biblia imetuamuru kutii mamlaka!
Rumi 13:1-4:1 Kila mtu na aitii mamlaka iliyo kuu; kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu; na ile iliyopo umeamriwa na Mungu.
2 Hivyo amwasiye mwenye mamlaka hushindana na agizo la Mungu; nao washindanao watajipatia hukumu.
3 Kwa maana watawalao hawatishi watu kwa sababu ya matendo mema, bali kwa sababu ya matendo mabaya. Basi, wataka usimwogope mwenye mamlaka? Fanya mema, nawe utapata sifa kwake;
4 kwa kuwa yeye ni mtumishi wa Mungu kwako kwa ajili ya mema. Lakini ufanyapo mabaya, ogopa; kwa maana hauchukui upanga bure; kwa kuwa ni mtumishi wa Mungu, amlipizaye kisasi mtenda mabaya kwa ajili ya ghadhabu.
5 Kwa hiyo ni lazima kutii, si kwa sababu ya ile ghadhabu tu, ila na kwa sababu ya dhamiri.

Biblia pia katika Marko 12:17 inasema,
"17 Yesu akajibu, akawaambia, Mpeni Kaisari yaliyo ya Kaisari, na yaliyo ya Mungu mpeni Mungu. Wakamstaajabia sana."

Kiukweli,Lissu sio mtii kwa mamlaka,si kwa Raisi wala Spika na sheria za Bunge kwa ujumla,kwa hiyo adhabu aliyopata ni sahihi kabisa.
 
Mtu avunje sheria mwenyewe akiadhibiwa mnaanza kulaumu viongozi wa dini!!

Kila mtu atabeba msalaba wake
 
Laana ya kuku haimpati mwewe.Hata hivyo ni ajabu sana,mnataka mtu avunje sheria halafu achekewe?Ni taifa gani linalo ongozwa bila watu kutii sheria.Ni lazima sheria tulizojiwekea ziheshimiwe.
Pambafe
 
Atakae liwasha dude anamulikwa uraia wake na kutegewa binti mzuri achukuliwe video
 
This news of Speaker Ndugai stripping Tundu Lissu of his parliamentary membership is not sitting well with me.

The reasons given are him [Lissu] not officially apprising the parliament about his convalescence while being seen gallivanting around Europe and the US and not filling out some form for the ethics committee or something like that.

Now, I get the whole idea of doing everything by the book and all that jazz.

I don't know if Lissu has actually done what is said he hasn't done.

I have a sneaky feeling that he'll probably contradict all of those given reasons for him getting booted off parliament.

I think there is no denying in the fact that he has suffered a lot. There is also no denying that even before that tragic afternoon event on September 2017, he was thoroughly and repeatedly harassed a lot by, some would argue, the powers that be.

Be that as it may, there is no need to add to his suffering.

Sometimes it is wise to have what I call 'moral flexibility' and actually use it.

In Tundu Lissu's case, I think the Speaker of Parliament could have used 'moral flexibility' in handling him.

Harassing a person who survived a dastardly assassination attempt is not right.

Very unnecessary.
Sometimes wisdom lies by you
 
Let me put this in a simple language.
Wewe ni mwajiri then inatokea moja wa waajiliwa wako anapata tatizo ambalo linamplekea kuwa hospitali kwa mda. Baada ya mda unamuona huyo mwajiliwa wako akizunguka sehemu mbalumbali akikuchafua utachukua uamuzi gani ukizingatia huna taarifa kamili za wapi alipo officially?

He deserve it.

Mbona baada ya kuvuliwa ubunge ameamua kurudi. Si angebaki huko aendelee na Matibabu?
 
Let me put this in a simple language.
Wewe ni mwajiri then inatokea moja wa waajiliwa wako anapata tatizo ambalo linamplekea kuwa hospitali kwa mda. Baada ya mda unamuona huyo mwajiliwa wako akizunguka sehemu mbalumbali akikuchafua utachukua uamuzi gani ukizingatia huna taarifa kamili za wapi alipo officially?

He deserve it.

Mbona baada ya kuvuliwa ubunge ameamua kurudi. Si angebaki huko aendelee na Matibabu?

Fuse huna
 
Spika kumsimamisha Lissu ni kuneutralize ugomvi wake na bashite ili kumfurahisha mfalme. Huenda hili ni zawadi kwa mwanamfalme ili asitimuliwe. Rejeeni kifo cha Yohana Mbatizaji kinavyolandana na hatua ya spika!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom