Mwafrika wa Kike
JF-Expert Member
- Jul 5, 2007
- 5,185
- 65
Jakaya tulimwambia kabla ya baraza la juzi kuwa wale wote wanaohisiwa kuwa wala rushwa watupwe nje ya baraza.
Magufuri ni kama Mrema ni mla rushwa na hilo JK analijua.
Magufuri amehusika kwenye ufisadi wa kuuza nyumba na aliomba rushwa ili boti za spidi ziende Mwanza.
kwangu mimi Magufuri kuendelea kuwa waziri ni katika kuyalinda mafisadi.
mliokuja hapa kumpigia debe tuambieni nyumba za serikali alivyafanya kuwa mradi wake binafsi. ktk mawaziri wanaotakiwa kuchunguzwa ni huyu Magufuri ili baraza libaki safi.
ndio maana Chenge akasema hivi ni vijisenti kwani anajua Mramba, Magufuri, Mkapa, Yona na Mungai wana mabilioni ya mapesa.
Magufuli si ndiyo huyo huyo pombe?sasa wa nini?tunataka timu mpya kabisa..na kama mh rais hawezi kufanya hivyo na yeye ajiuzulu tu!Kama magufuri ni mla rushwa na JK anajua hili mbona bado anarudi kwenye baraza? hii inanichanganya sana mkuu tafadhali fafanua kidogo hapa
Hizo ni falsafa zenu tu Nungwi..this time ni mpaka kieleweke..watajane wasitajane hiyo haijalishi!Tunataka tuone mambo!Fisadi apewe nafasi ya kumshughulikia fisadi?since when?Tanzania mpya inahitajika yenye maono mapya..tunataka kiongozi wa kutupitisha kwenye kasheshe hili bila mapigano ya kati ya masikini na mafisadi kuanza!Jakaya tulimwambia kabla ya baraza la juzi kuwa wale wote wanaohisiwa kuwa wala rushwa watupwe nje ya baraza.
Magufuri ni kama Mrema ni mla rushwa na hilo JK analijua.
Magufuri amehusika kwenye ufisadi wa kuuza nyumba na aliomba rushwa ili boti za spidi ziende Mwanza.
kwangu mimi Magufuri kuendelea kuwa waziri ni katika kuyalinda mafisadi.
mliokuja hapa kumpigia debe tuambieni nyumba za serikali alivyafanya kuwa mradi wake binafsi. ktk mawaziri wanaotakiwa kuchunguzwa ni huyu Magufuri ili baraza libaki safi.
ndio maana Chenge akasema hivi ni vijisenti kwani anajua Mramba, Magufuri, Mkapa, Yona na Mungai wana mabilioni ya mapesa.
Kama magufuri ni mla rushwa na JK anajua hili mbona bado anarudi kwenye baraza? hii inanichanganya sana mkuu tafadhali fafanua kidogo hapa
Kama magufuri ni mla rushwa na JK anajua hili mbona bado anarudi kwenye baraza? hii inanichanganya sana mkuu tafadhali fafanua kidogo hapa
Watu wote wa viwango vyao alivyovianisha fisadi Chenge ni lazima wawajibike!Kwa rais aelewe tu kuwa hakuna namna zaidi ya kudili na issue hii kamavile wananchi wanavyoona inafaa!Tujiadhari na machafuko..the president needs to take that route!Nilisahau na Mungai ambaye alisema kabisa kuwa anataka atumie muda huu kufanya biashara ana kampuni majuu ya kifisadi.
Magufuri ni kama Mrema ni mla rushwa na hilo JK analijua.
Kwa walioko TZ
Hivi yule dada wa UDSM sheria, mwenye RAV4 aliekuwa anakaa MABIBO hostel ameshaolewa na MAGUFULI ? , kwa maana alikwa anajishau kuwa anazimaliza pesa za BARABARA zetu kipindi kile Mh. yuko Miundombinu.
Heshima Mbele Wakuu,
Baada ya Mhe. Chenge kushindwa kujenga hata barabara moja toka achaguliwe kuwa waziri wa Miundombinu na kwa kuwa imedhihirika kwamba tuhuma alizonazo ni nzito na amekubali kuwajibika kwa manufaa ya umma.
Huu ni wakati muafaka wa kupendekeza ni nani anafaa kuchaguliwa kuwa Waziri wa Miundombinu. Kipindi cha Awamu ya tau Mhe. Magufuli alijitahidi sana kujenga barabara kwa kiwango cha rami mpaka nchi ikaanza kupendeza, mojawapo ya kazi ambazo ninamsifu ni ujenzi wa barabara za Mwanza mjini ambapo hapo kabla kulikuwa hakuna barabara za kiwango cha rami aliweza kujua barabara zote kwa jina na kujua ni wapi panatakiwa papewe kipaumbele.
Mie nadhani kuna haja ya yeye kurudishwa ili akamalize ahadi yake ya kuweka rami barabara ya Mtwara mpaka Mwanza.
Najua chaguo la Muungwana linaweza kuwa Ezekiel Maige kwa silimia 70, ila Namuomba mkuu wa kaya amrudishe Magufuli katika wizara hiyo!
Viwanja vinne! Mwenzetu nawe ni fisadi wa ardhi nini?nilienda kulipa kodi ya kiwanja changu mwaka 2001 wizarani, nilirudi na pesa zangu mkononi bila kulipa foleni ilikuwa ni kubwa mno. Lakini nimeenda mwaka jana nimetumia dakika 10 kukamilisha ulipaji wa viwanja vitatu.
1.Ninyi nyote hamjui TEUZI za viongozi wa CCM na Serikali yake zinazingatia kigezo gani kikubwa.
Ngoja niwajuze;
1.Ni lazima anayeteuliwa awe tayari kutafuta/kukusanya fedha toka kwenye Taasisi/shirika la umma/Wizara anayoiongoza pindi zinapohitajika kwa kazi maalum/nyeti!Maghufuli hawezi, anajikusanyia yeye mwenyewe tu.
2.Baada ya kuimulika sana Benki Kuu, zimebaki Wizara na Taasisi chache za UMMA zinazoweza kuifanya kazi hiyo.Baadhi yake ni: Miundombinu,Kazi(NSSF),Maji,n.k.Hivyo ni lazima watafutwe watu "makini na mahiri" kwa kazi hiyo.
Katika Mawaziri hakuna waziri mchapakazi na anayejua nini anachofanya kwa manufaa ya watanzania kama Magufuli. Magufuli sio malaika, ila anajitahidi kwa kiwango cha ubinadamu unavyomruhusu.
Na mengi ya mapungufu yake yanachangiwa na mabosi wake ambao ni Mashetani. Hii nchi hivi sasa inahitaji mtu kama Magufuli kuwa rais,Yuko tayari kuchukua maamuzi mazito bila kusita wala kumwogopa mtu.
Mambo ya vikamati kamati kwenye wizara anazopitia havipo. Umefanya kosa ushahidi upo, anaangalia maandishi yanasemaje unakwenda na maji.
Hatuihitaji Mr. "kutaka kupendwa" tunahitaji mchapakazi
Na ya Mungu Mpeni Mungu!Ya Kaisari Mpeni Kaisari.......
wewe unajua nini sasa hapa,Karibu sana hapa JF,Kwanza naomba urekebishe usemi wako niliopigia mstari hapo juu.
Kwa taarifa yako,Sie ndiyo tulikuwa wa kwanza kusema Pius Msekwa atakuwa Makamu mwenyekiti wa CCM.
Sie ndiyo tulikuwa wa kwanza kusema Pinda ndiye atakayechukua nafasi ya chenge.
Sie ndiyo tulisema majina kama George Mkuchika yatakuwamo katika cabinet.
Yes We said coz we know everything you dont know.Changia maada na acha kuleta viroja,
Je Waziri wa Nishati na madini,William Heleja alitoka katika wizi huko unakosema??
Je Masha alitoka huko??au specluation zako baada ya kuona Mkulo kaingia basi na wewe umepata la kusema..
Kata ishu na karibu hapa JF.
Hata Mkuu wa kaya alishakuwa kiongozi toka 1975,Mbona ameendelea kurudi kuwa kiongozi??Raila Odinga alikuwa kiongozi katika kipindi cha Moi na sasa karudi tena kuwa kiongozi..Je tungeweka damu mpya??vya kale ni dhahabu.Tusiwe na mawazo mgando ya kupend avbitu vipya tu,tunahitaji kuwa na vitu vya zamani ili tuwe na mchanganyiko ulio bora.
Hizi sio Kampeni ila ni kujaribu kuangalia hatma ya barabara zetu na nchi yetu.Toka Magufuli ametoka Wizara ya Miundombnu zamani Ujenzai na Mawasiliano,hakuna mradi mpya wa barabara ulioanzishwa.
Tusubiri hitimisho la mswaada wa leo.tutajua ni nani anahuskaHuyu si ndio alikuwepo pale na akawa na ile issue ya Nyumba/kiwanja Ubungo? Samahani kama nimekosea au kufananisha lakini kama ndio yeye basi mnataka kumpa Ulaji amalizie alichokianza alipokuwa pale huku huko Mifugo aseme nako. Hata yeye anajua kwamba hawezi kupata Urais wala Uwaziri Mkuu kitakachofuatia ni kama Mzee wa Vijisenti a.k.a Mzee wa Full Shangwe.