Money and love

Money and love

hivi mapenzi bila hela yanadumu

nan kakwambia yana dumu nakupa mfano nilipokuwa nasoma kuna demu nilikuwa nampenda lkn kwa sababu sikuwa na pesa wala kaz akanitosa baada ya mim kupata kaz tu akaanza swaga za yale yamepit
 
but sometym love bila money is nothng bt other tym money it cant stand in term of love
 
hivi mapenzi bila hela yanadumu

nan kakwambia yana dumu nakupa mfano nilipokuwa nasoma kuna demu nilikuwa nampenda lkn kwa sababu sikuwa na pesa wala kaz akanitosa baada ya mim kupata kaz tu akaanza swaga za yale yamepit
 
Kopi: Filipo ( ule mpango wa kuuza shamba la urithi ukamnunulie Arabela vitz achana nao karidhika)

Hah hah hah hah!!! Mpango ni yeye kuuza nyumba ya urithi kule Pangani halafu tuhamie Kiding'a
 
Last edited by a moderator:
huwezi kuitenganisha..coz ata mkitaka kuongea tu,lazima pesa itatumika ktk kupanga miadi...thy r same birds flotin 2geza
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom