Monduli: Matairi ya gari ya mbunge wa Viti maalum Anna Giderya(CHADEMA) yamepigwa risasi

Yanayoendelea kwenye uchaguzi wa Jimbo la Monduli jijini Arusha yanasikitisha pamoja na nguvu kubwa imetumika na Jeshi la Polisi kuzuiwa mawakala wa upinzani kuingia kwenye chumba cha kupiga kura .
Muda Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe.Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo watu wanaodaiwa ni Jeshi la Polisi.
View attachment 867805

===========
Taarifa za uchunguzi wa awali zinadokeza kwamba LENGO KUU LILIKUWA NI KUMUUA MH MBUNGE , lakini kama tunavyosema mara zote , shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Nchi imefika patamu sana ! lazima muelewe kwamba hakuna ukombozi wa mdebwedo ni lazima damu nyingi imwagike kwanza .
 
Dalili za kufeli kutawala!! Mambo ya risasi risasi hayajawahi kuwepo tangu Mwalimu na awamu zote zilizopita...asituvunjie amani yetu...hapa si Rwanda.
Nguvu pekee ya awamu hii ni mtutu wa bunduki , wamepoteza ushawishi hata wa wanyama , wakiacha kutumia risasi watatawalaje ?
 
Taarifa za uchunguzi wa awali zinadokeza kwamba LENGO KUU LILIKUWA NI KUMUUA MH MBUNGE , lakini kama tunavyosema mara zote , shetani hajawahi kumshinda Mungu .

Nchi imefika patamu sana ! lazima muelewe kwamba hakuna ukombozi wa mdebwedo ni lazima damu nyingi imwagike kwanza .
Uongo hautakufikisha popote, jitambue kijana.
 
Siku hiyo utalia na kusaga meno kudadeki ! tumewavumilia sana wanafiki wakubwa nyie !
Utalia wewe na uongo wako na uzindaki wako , we aliekuambia wanataka kumuua nani ? Kama si uzushi ni nini ?acha kupotosha jamii , jitambue kijana.
 
Habari yako ni ya kichochezi tu mbona hutoi sababu ya kupigwa risasi?? wewe ulikuwepo?? Au mmeanza kutengeneza matukio ya kupika kwa kuwa mmeshajua mmeshashindwa!!
UCD una akili za ngamia wewe/ toa uchafu wako hapa
 
Utalia wewe na uongo wako na uzindaki wako , we aliekuambia wanataka kumuua nani ? Kama si uzushi ni nini ?acha kupotosha jamii , jitambue kijana.
kumbe nabishana na zuzu ! risasi tairi zote lengo la polisi aliyetumwa kupiga lilikuwa nini ? bahati nzuri au mbaya kwako mpigaji alitetemeka akaangusha bunduki , nina watu wangu ndani ya eneo yalikopangwa mauaji na video ya tukio zima tumeipata , Masikini mkubwa wee !
 
Habari yako ni ya kichochezi tu mbona hutoi sababu ya kupigwa risasi?? wewe ulikuwepo?? Au mmeanza kutengeneza matukio ya kupika kwa kuwa mmeshajua mmeshashindwa!!
Mnaeleweka Kila jambo lamaana mnaongea kinyesi mnaudhi Sana. Na ngojeeni. Muda ni hakimu mzuri ipo siku yatawarudia
 
kumbe nabishana na zuzu ! risasi tairi zote lengo la polisi aliyetumwa kupiga lilikuwa nini ? bahati nzuri au mbaya kwako mpigaji alitetemeka akaangusha bunduki , nina watu wangu ndani ya eneo yalikopangwa mauaji na video ya tukio zima tumeipata , Masikini mkubwa wee !
Wewe ndio kubwa jinga kabisa ,tukio zima gani unalo wewe? Chadomo kwa uzushi tunawafehemu , matukio mnapanga wenyewe , ili kuuaminisha umma wa watanzania ndivyo sivyo , idiot.
 
Huu uzi ungeusoma tu ukapita. Si lazima kuchangia kila uzi. Hakuna atakayemtambua mjinga asipofungua kinywa chake.
 
Hivi hiki kikundi cha magaidi (CCM) ni lini wataacha kuwaua raia wasiokuwa na hatia? Mmeshindwa kumuua Tundu Lissu, bado mna hamu ya kuua wengine? Mmelaaniwa nyie wanahizaya wakubwa!
 
Hivi hiki kikundi cha magaidi (CCM) ni lini wataacha kuwaua raia wasiokuwa na hatia? Mmeshindwa kumuua Tundu Lissu, bado mna hamu ya kuua wengine? Mmelaaniwa nyie wanahizaya wakubwa!
Kila damu inayomwagwa na ccm italipwa .
 
Hii njia wapizani au watanzania wote wenye akili tunayotumia kutafuta mabadilikoa tunajidanganya, tuithamni then tutafute njia nyingine,swali la msingi la kujiuliza, wao hawataumia tukitumia njia nyingine? ..hii sio kabisa.
 
Gari kupigwa rusasi kwenye matairi ndio kumefanya chadema washindwe ubunge?
Je kama alitaka kuporwa na majambazi
 
Back
Top Bottom