Monduli: Matairi ya gari ya mbunge wa Viti maalum Anna Giderya(CHADEMA) yamepigwa risasi

Anapotupeleka huyu "Kichaa Mkubwa" mungu pekee ana makusudio yake.... Tuzidi kusali na kuomba.... Hivi wabunge wengi si wa CCM? Kwani kuna ugumu gani kubadili katiba ikawa kama ya Korea Kaskazini walau tuishi kwa ka-amani kadogo.... Eee mola tuepushe na hili jinamizi!!
 
Achen kuleta habar za uongo hapa nyie nyumbu wa chadema kaz kuuza chama chenu tu vyooooo yaone kama makenge meusi
 
Huyu mtu sijiu ni kwanini bado anaendelea kupewa heshima zote anazopewa.

Hata hapa JF watu wakiandiaka manene makali kumuhusu wacheni watu wamseme na sio kumlindalinda mradi tu hawavunji sheria wala kumtukana mtu.

Wahariri wa vyombo vya habari ni wakati wa nyinyi pia kuacha kumpamba katika media zenu.

Tukiendelea kumpa promo, kujifanya hatuoni na kumlindalinda hakika tutakuja kuona matokeo yake.

Huyu mtu ama ni mgonjwa wa akili au ni hana element za ubinadamu kabisa.

Kila mtu anapaswa kumuona ni adui kwani ameshaonyesha sifa zote za kutostahili kuungwa mkono kwa kauli na matendo yake.
.
In short, huyu ni mtu hatari sana na hana urafiki na mtu siku yoyote anaweza kukugeuka mradi tu mmepishana katika jambo fulani.

Wenzetu mnaodhani mko safe au kufikiri haya hayawahusu, mjue tu mnajidanganya na ipo siku kwa pamoja mtakiri kuwa mlichelewa kumkataa.
Nikifuatilia maneno yako huwa inaonekana wewe ni CCM ndakindaki lakini aliyekataliwa na huyo unayemtuhumu. Maneno yako haya yanaonyesha mlikuwa na makubaliano lakini mlikuwa kupishana jambo fulani la Siri hautaki kulisema, right?

IMG_8420.jpg
 
Yanayoendelea kwenye uchaguzi wa Jimbo la Monduli jijini Arusha yanasikitisha pamoja na nguvu kubwa imetumika na Jeshi la Polisi kuzuiwa mawakala wa upinzani kuingia kwenye chumba cha kupiga kura .
Muda Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe.Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo watu wanaodaiwa ni Jeshi la Polisi.
View attachment 867805

===========
Watu wasiojulikana
 
We unajulikana ni kichaa na umekaa mirembe unachoandika ht mtt akisoma anajua ni kichaa

Bahati nzuri Kwangu na mbaya Kwako ni kwamba hata Girlfriend wangu wa sasa Jina lake la ' Ubini ' ni la Massawe kama lako hivyo ' hasira ' zangu zote juu yako leo naenda kuzimalizia Kwake nikiwa nae ' Kitandani ' wakati wa mpambano wa lazima wa Kibaiolojia wa Simba na Yanga.
 
Usitufanye wote wajinga wewe mfa maji wewe. Tunafahamu tunakoelekea labda wewe ulitumika kwa lengo binafsi. Utapata tabu sana. Angalia miutumbo yako ya nyuma ndo ujipime moral authority yako kama unayo hata kidogo ya kumnyooshea mtu.

IMG_5198.jpg
 
Huyu mtu sijiu ni kwanini bado anaendelea kupewa heshima zote anazopewa.

Hata hapa JF watu wakiandiaka manene makali kumuhusu wacheni watu wamseme na sio kumlindalinda mradi tu hawavunji sheria wala kumtukana mtu.

Wahariri wa vyombo vya habari ni wakati wa nyinyi pia kuacha kumpamba katika media zenu.

Tukiendelea kumpa promo, kujifanya hatuoni na kumlindalinda hakika tutakuja kuona matokeo yake.

Huyu mtu ama ni mgonjwa wa akili au ni hana element za ubinadamu kabisa.

Kila mtu anapaswa kumuona ni adui kwani ameshaonyesha sifa zote za kutostahili kuungwa mkono kwa kauli na matendo yake.
.
In short, huyu ni mtu hatari sana na hana urafiki na mtu siku yoyote anaweza kukugeuka mradi tu mmepishana katika jambo fulani.

Wenzetu mnaodhani mko safe au kufikiri haya hayawahusu, mjue tu mnajidanganya na ipo siku kwa pamoja mtakiri kuwa mlichelewa kumkataa.

Kitendo cha hii comment kupata likes 40 kinaonyesha hali halisi
 
Habari yako ni ya kichochezi tu mbona hutoi sababu ya kupigwa risasi?? wewe ulikuwepo?? Au mmeanza kutengeneza matukio ya kupika kwa kuwa mmeshajua mmeshashindwa!!
COM hawawezi kushinda uchaguzi kwenye fare election
 
Yanayoendelea kwenye uchaguzi wa Jimbo la Monduli jijini Arusha yanasikitisha pamoja na nguvu kubwa imetumika na Jeshi la Polisi kuzuiwa mawakala wa upinzani kuingia kwenye chumba cha kupiga kura .
Muda Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe.Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo watu wanaodaiwa ni Jeshi la Polisi.
View attachment 867805

===========
Kama ni hivi sinaimani kama nipo kwenye nchi yangu yaamani inaonekana kiongozi mkuu wa serekali hajali roho za watu tukiisha wote sijui atamuongoza nani mungu nakuomba tutolee hili janga
 
Tuseme ccm haiwezi tena kushinda bila kutumia nguvu? Aibu ya ccm kutegemea ujanja ujanja
 
Yanayoendelea kwenye uchaguzi wa Jimbo la Monduli jijini Arusha yanasikitisha pamoja na nguvu kubwa imetumika na Jeshi la Polisi kuzuiwa mawakala wa upinzani kuingia kwenye chumba cha kupiga kura .
Muda Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe.Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo watu wanaodaiwa ni Jeshi la Polisi.
View attachment 867805

===========
Photoshop. Polisi wako wapi?
Mh Mbunge pia hayupo.
 
Inaonyesha hii gari kama iliwekewa kitu chenye uwezo wa kutoboa matairi, lakini sio risasi. Ni ngumu sana kupiga tairi mbili za upande mmoja , ingekuwa tairi moja ya mbele ingemaanisha risasi imetoka kwa mtu aliye mbele, nyuma hali kadhalika.

Hii gari inawezekana imepita kwa nguve pahali palipokuwa na Road block na polisi ama watu wametandaza tyre busters
 
Yanayoendelea kwenye uchaguzi wa Jimbo la Monduli jijini Arusha yanasikitisha pamoja na nguvu kubwa imetumika na Jeshi la Polisi kuzuiwa mawakala wa upinzani kuingia kwenye chumba cha kupiga kura .
Muda Gari ya Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Manyara, Mhe.Anna Gidarya imeshambuliwa kwa kupigwa risasi kwenye matairi muda mfupi uliopita akiwa katika kata ya Majengo watu wanaodaiwa ni Jeshi la Polisi.
View attachment 867805

===========
Na kifua cha huyu mama mbunge kinaonekana ni mashalaah
 
Huyu mtu sijiu ni kwanini bado anaendelea kupewa heshima zote anazopewa.

Hata hapa JF watu wakiandiaka manene makali kumuhusu wacheni watu wamseme na sio kumlindalinda mradi tu hawavunji sheria wala kumtukana mtu.

Wahariri wa vyombo vya habari ni wakati wa nyinyi pia kuacha kumpamba katika media zenu.

Tukiendelea kumpa promo, kujifanya hatuoni na kumlindalinda hakika tutakuja kuona matokeo yake.

Huyu mtu ama ni mgonjwa wa akili au ni hana element za ubinadamu kabisa.

Kila mtu anapaswa kumuona ni adui kwani ameshaonyesha sifa zote za kutostahili kuungwa mkono kwa kauli na matendo yake.
.
In short, huyu ni mtu hatari sana na hana urafiki na mtu siku yoyote anaweza kukugeuka mradi tu mmepishana katika jambo fulani.

Wenzetu mnaodhani mko safe au kufikiri haya hayawahusu, mjue tu mnajidanganya na ipo siku kwa pamoja mtakiri kuwa mlichelewa kumkataa.
Mtugani? Mtaje sio unaishia tu huyu mtu, huyu mtu. Kama ni mbowe promo aipate wapi?
 
Dalili za kufeli kutawala!! Mambo ya risasi risasi hayajawahi kuwepo tangu Mwalimu na awamu zote zilizopita...asituvunjie amani yetu...hapa si Rwanda.
 
Back
Top Bottom