Belouizdad ni timu mbovu sana, Yanga wasiwe na presha

kwisha

JF-Expert Member
Sep 9, 2021
1,666
4,365
Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo
Mechi za mikakati
Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile

Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga tu ambayo walitumia kwenda kushambuliwa wachezaji wengi na kuacha wachezaji wengi wa chache nyuma wakawa wanatumia fursa izo kufanya conter attack pia yanga walishindwa kutumia nafasi zao nyingi ambazo walipata ila Hawa waarabu ni wabovu saana ukiwashambulia vizuri tu huwezi kukosa bao tatu mpaka 5 Kama una wachezaji ambao wanajua kutumia nafasi vizuri

Pia sioni wakiwafunga mediama kule kwao labda kwa figisu zao
 
Tutaona

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kuna mashabiki mapumbavu ya SIMBA utayasikia yanga atapigwa nyingi au kijitahidi atapata sare kwa mkapa kana kwamba yanga haijui kucheza na hawana chochote na wanashika mkia ligi ya EPL Wala Caf champions league, huwa mapumbavu sana ilimradi tuu yanaponda bila facts.
 
Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo
Mechi za mikakati
Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile

Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga tu ambayo walitumia kwenda kushambuliwa wachezaji wengi na kuacha wachezaji wengi wa chache nyuma wakawa wanatumia fursa izo kufanya conter attack pia yanga walishindwa kutumia nafasi zao nyingi ambazo walipata ila Hawa waarabu ni wabovu saana ukiwashambulia vizuri tu huwezi kukosa bao tatu mpaka 5 Kama una wachezaji ambao wanajua kutumia nafasi vizuri

Pia sioni wakiwafunga mediama kule kwao labda kwa figisu zao
Jifariji ngoja waje hapa mtapigwa kama ngoma
 
Belouizdad ni timu kamili inayo cheza ki timu kuliko timu nyingi, wanacheza kwa mpango wa dk 15,15,15 wamegawanya vipindi vya kushambulia na kupata goli.
Kuzuia, kucheza.
Ndio timu hatari kuliko Ahly kwakua wao mda wote wanahisi hawako salama kwaiyo Wana umakini kwa Kila tendo.

Hiki ni kipimo sahihi kabisa kwa umakini wa wachezaji wetu wa Yanga na Kocha.
Tukiweza kuwafunga Belouizdad basi tunacheza nusu fainali bila shaka yoyote.

Ni timu yenye Kasi ya umeme kwenye Transition.
 
Kama kule kwao YANGA alicheza mpira mzuri vile, basi Taifa Yanga ana matokeo. Approach ambayo Yanga ataingia nayo dhidi yao ni nzito, timu itatafuta matokeo mazuri, wale Al Ahly kutoka nao droo kwao inawezekana kabisa, pale timu hakuna, basi tu imebaki experience.
 
Nilibahatika kuona mechi zote mbili za RC belouizdad na Al ahly ni Mechi za michongo
Mechi za mikakati
Sio kwamba belouizdad wana timu nzuri kivile

Even ile mechi yao na yanga ni mistake ya yanga tu ambayo walitumia kwenda kushambuliwa wachezaji wengi na kuacha wachezaji wengi wa chache nyuma wakawa wanatumia fursa izo kufanya conter attack pia yanga walishindwa kutumia nafasi zao nyingi ambazo walipata ila Hawa waarabu ni wabovu saana ukiwashambulia vizuri tu huwezi kukosa bao tatu mpaka 5 Kama una wachezaji ambao wanajua kutumia nafasi vizuri

Pia sioni wakiwafunga mediama kule kwao labda kwa figisu zao
Nyumbu akimtia Moyo swala kwenda kumtembelea Simba 😁😁😁😁
 
Baada ya Simba kudroo na Al ahly kwenye AFL mkasema angekuwa kachezq na Yanga basi Nzengeli angetoka na Assist 3. Mlipokutana nadhani ulijionea. Lqbda useme unaipa timu spirit ya kupambana lakn sio useme CRB ni wabovu. Mkipata Draw mtasemaje?
 
Back
Top Bottom