Mojawapo kati ya picha zako

Kwa kweli kati ya kitu ambacho huwa sikifikirii ni Kuhusu Kifo changu
 
Kwa kweli kati ya kitu ambacho huwa sikifikirii ni Kuhusu Kifo changu
Lakini kipo [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji25] [emoji25] [emoji25] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
 
Dah mshana bwana kwa kupenda mambo ya kufa kufa.... Halafu basi ataungekua unaposti mchana, unasubiri usiku watu tumelala, tumeshtuka kidogo usingizin tunapita Jf tunakutana na mambo yako ya kufa kufa, mara mida ya wanga
umeona eeeh mi usiku naogopa kufungua thread zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…