The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,503
- 2,046
- Thread starter
- #121
Nakubali kuwa wizi wa kura upo ila sio kwa kiwango ambacho wapinzani wanajaribu kutuaminisha kwa uzoefu mdogo nilio nao wapinzani mpaka sasa kwa umoja wao hawajawahi kusimamisha wagombea majimbo yote ya uchaguzi kwa sababu hiyo bado ccm wana advantage ya udhaifu huo. Kwa hiyo jambo muhimu la kufanya badala ya kuendelea na operation uchwara wanapaswa kwenda kwenye majimbo hayo kupiga kelele huko ili raia walioko huko wawajuwe ajenda zao na dhamira yaoHakuna kukuzwa hata wezi kila mwenye akili timamu anaweza kukutajia Moja moja na wote walioshiriki katika haramu hiyo🤔.