Mohammed Dewji: Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe si kukuteka wewe

Mohammed Dewji: Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe si kukuteka wewe

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
18,903
Reaction score
14,667
Anaandika tajiri Mohammed Dewji kupitia ukurasa wake wa (X).

Nchi nyingi — kuanzia Australia hadi Denmark — sasa zinaweka mipaka ya matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watoto walio chini ya miaka 16.Kwa vijana wa Tanzania na Africa: lindeni akili zenu, muda wenu, na ndoto zenu.Mitandao ya kijamii inapaswa kukutumikia wewe — si kukuteka wewe.
1765360100025.png
 
Haters wa Samia, bila kuelewa mantiki iliyopo hapa, watakuja kutukana.
 
Fb niliachana nayo, tiktok nishaifuta kabisaaa, instagram nina miaka 5 sijaigusa... Nimebakiza x, jf, whatsapp nimeiwekea mipaka mikali mno na ipo kwa sababu ya kazi....

Wenye akili tumemuelewa
 
Tajiri toka atekwe na bashite, kawa mpolee.
Muoga hatarii. Hana jipyaaa
 
Back
Top Bottom