Ramid Member Joined Mar 1, 2013 Posts 55 Reaction score 17 May 30, 2015 #1 Nimevutiwa sana na hii controler, sema sijajua hapa Dar zinapatikana wapi na kwa bei gani. Naomba msaada kwa anayefahmu mahari zinapouzwa kwa Dar Attachments 1432992285111.jpg 30.5 KB · Views: 74 1432992305587.jpg 19.5 KB · Views: 70
Nimevutiwa sana na hii controler, sema sijajua hapa Dar zinapatikana wapi na kwa bei gani. Naomba msaada kwa anayefahmu mahari zinapouzwa kwa Dar
Chief-Mkwawa Platinum Member Joined May 25, 2011 Posts 32,280 Reaction score 44,418 May 30, 2015 #2 sidhani kama utapata na upo aware kama zimekuwa optimized kwa simu? kitu kidogo kama hicho ni rahisi kununua ebay update opss sorry nimeona pic ya pili now
sidhani kama utapata na upo aware kama zimekuwa optimized kwa simu? kitu kidogo kama hicho ni rahisi kununua ebay update opss sorry nimeona pic ya pili now
Ramid Member Joined Mar 1, 2013 Posts 55 Reaction score 17 May 31, 2015 Thread starter #3 Nashukuru chief, ngja bac nifnye utaratbu wa kununua ebay