Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,580
- 18,222
Itakuwa hivi:
Inbox ya Mr Rocky: from Mamndenyi..." i can't take it any more nameza sumu ya panya".
Inbox ya Madame B....." kwa nini umechoropoa mimba yangu? From Ben Saanane"
Inbox ya Paloma.... marejesho kachoka sana,mhemko unaniua nisaidie from Filipo
Inbox ya sosoliso.....hivi wewe Paloma kakuroga? From Arabela
Inbox ya Erickb52......achana na Chocs jana nimemwona na Arushaone mount meru,please call amu
Inbox ya pou: hivi huyo King'asti unamjua uzuri? From gfsonwin
Inbox ya Dena Amsi.....we told you Mr Rocky karudi kwa mkewe
hahhahahahaha @ paloma huyo Shark nta mgeuza sato baada ya kumtoa kucha na meno.
chezea my akanana Passion Lady
Hana ubavu wa kukanusha huyo baba yako MziziMkavu.
Na kuanzia leo uniite MAMA.
Mamndenyi hivi una ndoa na daktari MziziMkavu mbona baba mwenyekiti Baba V hana taarifa na hapa naona Slave anakutaka
Gggggggrrrrrrrr hupendi kucha zako sio?
Mambo mpenzi.