Kongosho kwa hili unaonyesha kama umekubali kuniachia
pale tulipokuwa tunapigania
au bado unang'ang'ania kote kote.
Zangu ziko scrambled hata pou hawezi zisoma,ni hatari tupu!
Ha ha ha, umepitiwa na usemi 'hawaachanagi, wanapumzika tu'
Hukumbuki The secretary alikuja kwa mbwembwe, nimemshusha mshipa (hivi mwanamke naye anasg=hushwa mshipa?)
Dahhh nimepa-miss Cc jamani...
Abiria chunga mzigo wako!
ok siyo mbaya nitago ahedi hiki kipindi cha mpito.
You beteer go atail
Ahead utaumia sana
Abiria chunga mzigo wako!