MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

asa Bishanga mihela kwa nani? kwa Fixed Point? wala usisubutu. Niulize mimi. Kwa cacico? Huyo ana 'mguu wa kuku' kabisa. uliza aliupata kwa sababu gani? sio matwins. charminglady ndo ivo tena..

sasa ukiwatishia na lunch za kempisk, wao wanajua kabisa hizi kamba afu watakupeleka ukweli...ukinipigia simu umekwama apo ujue siji. ili ujifunze
Kaizer, kwa kumfanya ajione mdogo, tunampeleka, then tunaagiza kila kitu very expensive, that is, tunapoagiza hatuangalii kule mwisho kumeandikwa bei gani..... akishindwa kulipa tuna-swipe kadi zetu tu...... atakoma kuwatokea mapedeshee ya kike
 
Last edited by a moderator:
Kaizer, kwa kumfanya ajione mdogo, tunampeleka, then tunaagiza kila kitu very expensive, that is, tunapoagiza hatuangalii kule mwisho kumeandikwa bei gani..... akishindwa kulipa tuna-swipe kadi zetu tu...... atakoma kuwatokea mapedeshee ya kike

chezeya bishanga wewe,ushawahi ona credit card ya platinum weye?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom