Ndo nimetoka kifungoni !!!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wana chit chat ni aje wadau, mwenzenu ndo nimetoka kifungoni leo baada ya kutumikia BAN ya mwezi mmoja. kuna Ndimu mmoja aliniboa kule Jukwaa la siasa nikampa za uso,MODS wakàfanya kazi yao. nipeni habari za hapa wajameni,Kaunga nipe maendeleo ya mimba ya Erotica,Kongosho did you miss me!?, wapi Erickb52 leo tukapate ndovu pamoja,Bishanga naskia na wewe umehamia jukwaa la siasa,chunga yasikukute kama yangu, ndoa ya Platozoom na Cacico inaendeleaje(just being curious), BADILITABIA nataka kujua una date na nani, Gwangambo upo? Babu Aspirin nimepata story zako toka kwa Switlady na Mwali sijui uliwafanya nini,Saint Ivuga are you there? Roullete,Invisible na PAW salaam zenu,Mzizimkavu nataka kujua umesaidia vipi wanajamvi kipindi hiki cha mgomo wa madaktari,Eiyer nimeskia mahudhurio yako Jamvini ni poor,Catherine naskia una uhusiano usio halali na Pombekali na Neema ndo mshenga,is that true!? wapendwa heri upelekwe MABWEPANDE ungolewe kucha kuliko Ban, inauma mbaya!
 
khaaaaaaa Baba V, kwanza pole kwa ban! nilishatalikiana na Young_Master loooong tym, nadhani ndio ulituacha hivyo, sasa hivi nimeolewa mke wa tatu kwa babu Asprin, tena nina mimba ya triplets, babu hebu muwekee ili picha yangu ya mimba! na ile unayonikiss ndio ataelewa! lol! nways karibu tena jamvini, we missed u!
 
Last edited by a moderator:

Thank you wangu, ila huyu babu atakuja fia kìfuani pa mtu,maana alivyo na bidii!!
 
Last edited by a moderator:
Baba v karibu sana na pole kwa ban. Halafu catherine ni single girl hana mahusiano na Pombekali. Huyo mtu amekupa habari nahisi anataka kunichafulia cv.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom