MoDs piga ban wafuatao tafadhali:

Lizzy: For obvious reasons.
Erickb52
: Kwa kum cheat Amyner ,
Amyner: Kwa kum cheat Erickb52
The secretary
: Kwa kumkataa bishanga,unamkataa bishanga we nani? Asprini: Warembo wote jf wa kwake,kha! MoDs piga ban huyu.
Cantalisia :Kwa kumwacha Rejao kisa eti kachalala,kwani ulimpendea hela?
Paw
: apigwe ban huyu,mahusiano yake na Roulette yanatia shaka.
Invisible:Ushaambiwa ubadili avatar husikii,kula ban,
Kongosho: Umezidi ulevi,mara unywe kimpumu,mara komoni,gongo ndo usiseme,kula ban
CUTE: kwa kuingilia mapenzi ya Mwali na Saint Ivuga ,
Saint Ivuga: Kwa kuvunja uaminifu kwa Mwali,kamata ban hiyo,
afrodenzi
:kwa kumficha The Finest chini ya mvungu wa kitanda,kula ban mpaka umrudishe jf ,
Kipipi:Nilikwambia unitafutie mke jf,hujatekeleza hilo,tafuna ban hiyo,
@Dark City: Husninyo jamani Husninyo,kula ban mpaka urudi na mjukuu wako jamvini,
TANMO: Umezidi umbea mpaka unautungia gazeti,lamba ban,
Nyani Ngabu: Kajizi haka...life ban,
Michelle: ndo nini sasa jana kunigandisha? Kula ban ya 24 hrs,
Eiyer: hivi wewe,kutoa 'like' unaona ni sawa na kung'oa jino? kula ban,
@sobhuza Boflo na @Figanigga: vichwa vyenu ndo serikali zenu,kuleni ban,
Erotica
: Umezidi kututia mhemuko na post zako,kula ban,
Zinduna: Nani kakutuma utoe siri za unyago hazarani,kula ban,
Mtambuzi: kwa ku do sauzi afrika bila kitendea kazi...remember? kula ban,
Naendelea kupitia akaivu ya jf,nikirudi nawashushia rungu kina
The Boss
The Rock Mamndenyi cacico(tena wewe nakutafuta) Kaizer Fixed Point gfsonwin na genge lenu lote.
PS: AshaDii MwanajamiiOne Yummy klorokwini charminglady marrytina na Dena Amsi rekodi zao safi kabisa.
Nisaidie kumpiga ban Heaven on Earth.. Siku tatu zimepita sijamtia machoni na washikaji wanasema kakatiza sasa hivi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom